Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

cheti changu cha bodi kimeexpire natakiwa nilipe deni ndio nirenew deni lenyewe ni mshahara wa mtu kabisa nimeamua niwe mpenzi mtazamaj
MOYO WANGU UMEUMIA SANA.

nilivyosoma hii sms.

Yaani mimi ningekuwa nimeajiriwa au na hela ningekulipia Hiyo leseni kama sadaka.

Kiukweli jobless tunapitia maumivu ambayo kuna muda unaweza kutomueleza yeyote Duniani.
 
mie niko private sector hivi sihangaiki na hao mamaku :ALERTA: :ALERTA: :ALERTA:
Basi usiwakatishe tamaa, kila mtu ameamua afuate njia aliyoona ni bora kwake, lengo ni kila mmoja afike kwenye Center.

Mtu aliyepo Goba anaweza kuamua apitie Kawe na mwingine akaamua apitie Mbezi, Kimara wote wakiwa wanaenda K/koo. so hapo kila mmoja kachagua njia yake itakayomfikisha K/koo.
 
Back
Top Bottom