Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naomba kuuliza kishwahili sahihi cha ADMISSION OFFICER NA QUALITY ASSURANCE ni kipi??
Mwaisa google ipo kwa ajiri yako
Admissiom officer huyu ni afisa msajiri (ana husika na kusajiri wanafunzi )
Quality assurance huyu ni muhakiki ubora yeye ndo anahusika na kuhakiki ubora (iwe mitaala au mambo yote yanayohusika na taaluma au kozi inayotolewa kwenye vyuo,yeye anaangalia ubora wa mtaala wa kozi husika)
 
Kawaida ni ndani ya siku 21.

Lakini huwa tunareport immediately pindi ukiona jina lako maana mtaani ni pa moto kama huna mishe ya maana
Nimeona kwenye muongozo wametaja siku 14 kuripoti kazini
 
Sasa mimi niliandika barua ya kiswahili afu pale juu nikaandika admission officer sijui kama hawatoreject na wametoa option ya edit
 
Mjielimishe counting ya muda inaanza lini.Wengi hudhani ni siku ya usaili.
Muda wa database ni mwaka 1 .
Wana tuzidi kuongeza received kumenogile hatarii
 
Kwanza kabisa hawana mamlaka ya kushirikia hicho cheti maana hakikukuwa dhamana.
Hivyo wanatakiwa kurejesha hicho cheti kwa mmiliki halali kukaa na cheti cha mtu mwingine ni makosa ile ni nyaraka yake, ndio maana hata mabenki hayatoi mikopo kwa dhamana ya vyeti.
Fanya yafuatavyo.
1. Tafuta ushahidi kwanza kwamba wanashikilia hicho cheti hata kwa kuwarekodi maana bila ushahidi wanaweza kukukana huko mbeleni wakiona mambo yamekuwa magumu kwao.
2.Waandikie barua ya kuwaomba wakurejeshee cheti chako.
3. Nenda kwa mkuu wa wilaya kilipo chuo, mkuu wa wilaya atawaita atawatasikiliza na akiona Wana makosa atawaambia wakupe cheti.
4. Ukikosa huduma kwa mkuu wa wilaya omba kuonana na katibu tawala mkoa au mkuu wa mkoa umuombe akusaidie kurejeshewa cheti.
5. Ukishindwa kote huko waandikie barua ya kusudio la kuwashtaki endapo hawatakupa cheti chako ndani ya siku kadhaa.
6. Ukiona kimya samehe chukua lakini lipia upewe cheti kiingine na baraza maisha yaendelee.
 
Hivi wakuu mtu akisema amepata kazi kwa kutumia iman za kiganga unaweza kuamini...?
 
Baada ya kuingia Naibu Waziri mwingine "Utumishi" naona mwendo wanaoenda sasa unakatisha Tamaa kwa jobless....
Database ya Taasisi bado wanaviporo vingi database wa 2022/2023 saili zilifanyika sanaa lakini Ukiangalia mwenendo wao kwa kweli unakatisha Tamaa.....
 
 
Ridhiwani toka aingie, pdf zimepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…