Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Likewise bro!niliwaza nikasema kama ningekua naingia oral Sasa hvi aisee nisingekamatika๐๐๐๐๐๐๐Nondo za humu aseeh washindwe wenyewe tu Kuna wakati huwa nawazaga kama mwanzo ningepata muongozo kama wa humu ningeshakuwa kazini aseeh
Hii PSRS imekuwa inanipa faida ya kukutana na school mates sana,kuanzia written nilikutana na school mates, wengine hata siwajui ila wao wananijua maana niliwahi kujizolea umaarufu shuleni hadi nikatambulika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maana hawaeleweki hawa
Hizo experience hawaangalia sana pale wanachokupima yani unafundishika kazini ,una uelewa na hiyo kazi, na jinsi unavyojoamini au kuhandle situation tofauti ndo maana Kuna wakati unaweza kujibu sawa halafu wanajifanya kama hawakuelewi wanakupiga macho hayo sasa kama hujiamini lazima upoteze networkHalafu mimi kwenye Intro sijataja uzoefu/skills hata kidogo, nimetaja tu niliwahi kufanya Intern hospital fulani.
Huo uzoefu wanaoutaka bila shaka wameupata kwenye majibu ya maswali yangu, uzuri maswali yalihitaji majibu ambayo yanatekelezeka kwa vitendo.
Cheque namba kwanza, mengine utayaseti ukiwa na uhakika wa mloHicho ndo chamuhimu tu mzee mengine yatajiset mbele
Kufika oral sio shida ,shida inakuwaga kama hajawahi kupewa detail ya zile interview hawezi kutoboaHii PSRS imekuwa inanipa faida ya kukutana na school mates sana,kuanzia written nilikutana na school mates, wengine hata siwajui ila wao wananijua maana niliwahi kujizolea umaarufu shuleni hadi nikatambulika.
Leo tena nimekutana na jamaa, ni Engineer tangu nimalize shule sikuwahi kukutana naye.
Alivyo na bahati, amefanya written ya kwanza na akafika oral.
SahihiCheque namba kwanza, mengine utayaseti ukiwa na uhakika wa mlo
๐๐๐๐Hahhh yani ungeenda unajua kabisa hawawezi kukuchomoa hata iwejeLikewise bro!niliwaza nikasema kama ningekua naingia oral Sasa hvi aisee nisingekamatika๐๐๐
Halafu mtindo wa kukuangalia mkandwaji, mimi nimewaangalia wawili tu ambao ndio walikuwa wanatoa maswali, tena nikishamaliza ndio nawaanhalia wasemeje. Nikiwa natema broken nakuwa nawaanhalia kama siwaangalii(yaani ile kuangalia juu juu).Hizo experience hawaangalia sana pale wanachokupima yani unafundishika kazini ,una uelewa na hiyo kazi, na jinsi unavyojoamini au kuhandle situation tofauti ndo maana Kuna wakati unaweza kujibu sawa halafu wanajifanya kama hawakuelewi wanakupiga macho hayo sasa kama hujiamini lazima upoteze network
Hilo nalo neno mkuu.Kufika oral sio shida ,shida inakuwaga kama hajawahi kupewa detail ya zile interview hawezi kutoboa
๐๐๐๐Wale ukitaka kuwaweza inatakiwa usiwawazie Yani we shuka madude yako tembea na legeHalafu mtindo wa kukuangalia mkandwaji, mimi nimewaangalia wawili tu ambao ndio walikuwa wanatoa maswali, tena nikishamaliza ndio nawaanhalia wasemeje. Nikiwa natema broken nakuwa nawaanhalia kama siwaangalii(yaani ile kuangalia juu juu).
Sasa wale ambao wamenipiga jicho hawajanipata maana mimi sikuwa na muda nao[emoji3][emoji3]
Asante mkuu,ubarikiweMnaoingia oral kesho nawatakia Kila la khery.. mkawakande kwelikweli psrs bila huruma
Ni vizuri kukutana na mates.Mkuu unataka kuniambia ni ngumu sn kufanya written kwa mara ya kwanza na ukatoboa kwenda oral? Basi me pia nina bahatiHii PSRS imekuwa inanipa faida ya kukutana na school mates sana,kuanzia written nilikutana na school mates, wengine hata siwajui ila wao wananijua maana niliwahi kujizolea umaarufu shuleni hadi nikatambulika.
Leo tena nimekutana na jamaa, ni Engineer tangu nimalize shule sikuwahi kukutana naye.
Alivyo na bahati, amefanya written ya kwanza na akafika oral.
Anhaaaa nimekuelewa mkuuHizo experience hawaangalia sana pale wanachokupima yani unafundishika kazini ,una uelewa na hiyo kazi, na jinsi unavyojoamini au kuhandle situation tofauti ndo maana Kuna wakati unaweza kujibu sawa halafu wanajifanya kama hawakuelewi wanakupiga macho hayo sasa kama hujiamini lazima upoteze network
Nakazia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale ukitaka kuwaweza inatakiwa usiwawazie Yani we shuka madude yako tembea na lege
๐๐๐๐Wale ukianza kuwawazia lazima upoteze networkNakazia tu
Sure kk na hii unaielewa zaidi ukipata nondo km mnazozitoa humu laiti tungejua mwanzoni Sana tungekuwa mrijani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale ukianza kuwawazia lazima upoteze network
Yes hakika sema tatizo humu watu wanakuwaga wabinafsi na wengi wanadharau sana mzee ndo maana hata hizi detail zilikuwa hazipatikani ,unakuta mtu alishafanya interview anajua zinaendaje lakini kumsaidia mtu anaona shidaSure kk na hii unaielewa zaidi ukipata nondo km mnazozitoa humu laiti tungejua mwanzoni Sana tungekuwa mrijani
Hongera feedback ya maswali mkuuNimeonja joto la Oral, rasmi nimeingia kwenye list ya wasubiri placements.
Ahsanteni kwa Dua zenu, sasa tushikamane tena kwenye kuombeana kwenye hatua zote alizopo kila mmoja wetu.
Inategemeana ila majority tunakandwa kwanza kwa sababu cut off haichukui wote.Ni vizuri kukutana na mates.Mkuu unataka kuniambia ni ngumu sn kufanya written kwa mara ya kwanza na ukatoboa kwenda oral? Basi me pia nina bahati