Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Likewise bro!niliwaza nikasema kama ningekua naingia oral Sasa hvi aisee nisingekamatika😂😂😂😂😂😂😂Nondo za humu aseeh washindwe wenyewe tu Kuna wakati huwa nawazaga kama mwanzo ningepata muongozo kama wa humu ningeshakuwa kazini aseeh