Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Kwanzaa hutoweza kuhudhuria zote kwa sababu ya bajetiHalafu ukute received 12 unatoka kapa aisee Mungu atuhurumie
Sawa ila napo itategemeana zenye uhakika kuja kwa pamoja ni zile za taasisi mojaAh sasa hapo c unaona zimetoka kwa wakati tofauti au ww ulielewa nn?
Tufanye received zote 12 zimetoka ndani ya pdf moja hapo unadhani itakuwaje?
Mkuu kwaiyo hata chuo huria (OUT) ni cha serikali?😀😀 kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni yaani unahisi taasisi za private nazo mchakato wake wa ajira huko utumishi ?
Fact mkuu yaani nigaragazwe kiuchumi na kimikando halafu nitoke patupu aisee matambiko yanahitajikaMm ikinitokea hy aisee nitarudi kijijini waliozaliwa wazazi wangu nikalambe mchanga mana sio jambo la kuchekea hilo 😂
Samahani Mkuu una level gani ya elimu?Mkuu kwaiyo hata chuo huria (OUT) ni cha serikali?
Mkuu wengine tumesoma tu tumaliza madarasa ila habari za elimu hata hatufuatilii kivile
Kuna recieved nyingi nimeacha kwa kuhisi ni private wataka uniambie kila nafasi inayotangazwa na utumishi ni ya gavoo ko hamna za private!
Dah 😂Samahani Mkuu una level gani ya elimu?
Hahahhah mkuu kutojua kutofautisha vyuo vya private na gvt pia kunahitaji level ya elimuSamahani Mkuu una level gani ya elimu?
ni shikidaahhh 🤣 🤣Samahani Mkuu una level gani ya elimu?
Sina nia hiyo, Ila nilitaka kujua tuHahahhah mkuu kutojua kutofautisha vyuo vya private na gvt pia kunahitaji level ya elimu
Nimesoma soma sana mkuu asaiv nimeamua kudeal na biznes mwaka huu mgumu ndio maana naomba ajira kama mvua nikapige mlioSina nia hiyo, Ila nilitaka kujua tu
Umesoma Sana kwa maana ipi?Nimesoma soma sana mkuu asaiv nimeamua kudeal na biznes mwaka huu mgumu ndio maana naomba ajira kama mvua nikapige mlio
Umeniwahi kumuuliza hili swaliSamahani Mkuu una level gani ya elimu?
Level na faculty niliosoma nitakutajia nikilamba asaliUmesoma Sana kwa maana ipi?
Faculty TenaLevel na faculty niliosoma nitakutajia nikilamba asali
Mkuu hapo juu alisemaga nikiwa sijui kitu nikubali kunangwa na kushushwa vyeo ilimrad nipate dhumuni languUmeniwahi kumuuliza hili swali
Mkuu wataka kusemaje labda tuanzie hapoFaculty Tena
Level kusemaMkuu wataka kusemaje labda tuanzie hapo
Yap nikilamba asali nitakuambia mkuu tuelekeze tu kwa vile ambavyo unavijua ili tufaidi keki ya nchi hiiLevel kusema
1. PhD
2. Master's
3. Bachelor
4. Diploma
5. Certificate
Kuna ulazima wa kungoja placement?
Faculty mfano (Faculty of Social Science) au una maana ya program uliyosoma?
Sawa, Open University of Tanzania (OUT). ni chuo kikuu Cha Serikali pia.Yap nikilamba asali nitakuambia mkuu tuelekeze tu kwa vile ambavyo unavijua ili tufaidi keki ya nchi hii