Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Nisamehe mkuu siwez haribia maisha ya watu yale ni maisha mkuu lazima nizingatieMkuu ukipewa kitengo cha ukandaji wasailiwa wote watatoka na 0.01/20 amini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe mkuu siwez haribia maisha ya watu yale ni maisha mkuu lazima nizingatieMkuu ukipewa kitengo cha ukandaji wasailiwa wote watatoka na 0.01/20 amini
Hahahahh maisha ya majobless, ni kweli mkuu ila ili ufanikishe hilo unatakiwa usideal na vitu vidogo vidogo kama ivo apo yani fanya shwaa unapita tuNisamehe mkuu siwez haribia maisha ya watu yale ni maisha mkuu lazima nizingatie
Kwa wasiowajua utumishi wanawoana kama wastaraabu Fulani.yaani mtu unaumia hadi unazoea [emoji1787] [emoji1787] alafu unaumia tena
SamahaniKwa taarifa ya jinsi hii system ilivyo ni kuwa, written interview (online) ni multiple questions, maswali 40 (Kwa maana Hadi Sasa waliokwisha Fanya Kwa kada mbalimbali), ni mfumo wa ku click jibu sahihi wewe na mouse yako tu. Huruhusiwi kubonyeza popote pale nje ya sura ya mtihani baada ya kuanza huo mtihani yaani ni ww na mouse yako ya kuchagua majibu.
Kwenye usaili Kuna maelekezo utapewa maana Bado ni mfumo mgeni lakini Kwa ufupi ni mfumo rafiki Kwa yeyote anaweza kutumia.
MAMBO YA KUZINGATIA.
Hakikisha ile email na password zako unazotumia kuingilia PSRS au huko ajira portal hauzisahau, kwasababu utazitumia hizo hizo kuingia kwenye huo mfumo wa usaili utakaokufanya ufanye hiyo written interview.
Usibonyeze vitu hovyo na kama huna hakika muite msimamizi akuelekeze. Usifungue tab mpya Wala kubonyeza bonyeza nje ya sura ya mtihani wako mbele ya kompyuta yako.
Muda wa mtihani ni mchache sana, ni dakika 50 tu au 40 (Kwa ambao tayari washafanya Hadi Sasa) hivyo Kila swali ni dakika moja na ushee.
Ndani ya lisaa kasoro ushamaliza na kumbuka usisahau kubonyeza "SUBMIT" mwisho kabisa baada ya kumaliza lakini hata usipobonyeza muda ukiisha inajisubmit automatically, pale juu kulia kwenye screen ya kompyuta yako Kuna muda una count, dakika na sekunde ndiyo zinahesabu tu pale juu, hivyo nenda na muda...vile vile unaweza kuanza na swali lolote lile na kurudia (kujibu) Yale mengine uliyoyaacha ilimradi uko ndani ya muda, kumbuka hata kama hujamaliza muda ukiisha pale juu jua ndo basi tena inajisubmit.
La mwisho kumbuka kusoma vizuri, usipite hvhv maana multiple questions hizo ziko very tricky hasa ukiwa hujasoma, soma virahisi, vya kati na vile vigumu...hii ni tofauti na ile ya mwanzo unaweza kukutana na familiar questions ila hii ya Sasa ni ngumu.
Mwisho ni kwamba, matokeo yako utayapata siku ile ile (kwenye akaunti ya ajira portal)hivyo aidha unaenda Dom au unaendelea na mambo yako.
Hii ni tip kidogo naamini itakupa mwanga kidogo.
Mkuu kama ikitokea umechagua jibu Kisha baadae ukatambua umechagua jibu ambalo sio sahihi JE unaweza kubadilisha na kuchagua tena ?Kwa taarifa ya jinsi hii system ilivyo ni kuwa, written interview (online) ni multiple questions, maswali 40 (Kwa maana Hadi Sasa waliokwisha Fanya Kwa kada mbalimbali), ni mfumo wa ku click jibu sahihi wewe na mouse yako tu. Huruhusiwi kubonyeza popote pale nje ya sura ya mtihani baada ya kuanza huo mtihani yaani ni ww na mouse yako ya kuchagua majibu.
Kwenye usaili Kuna maelekezo utapewa maana Bado ni mfumo mgeni lakini Kwa ufupi ni mfumo rafiki Kwa yeyote anaweza kutumia.
MAMBO YA KUZINGATIA.
Hakikisha ile email na password zako unazotumia kuingilia PSRS au huko ajira portal hauzisahau, kwasababu utazitumia hizo hizo kuingia kwenye huo mfumo wa usaili utakaokufanya ufanye hiyo written interview.
Usibonyeze vitu hovyo na kama huna hakika muite msimamizi akuelekeze. Usifungue tab mpya Wala kubonyeza bonyeza nje ya sura ya mtihani wako mbele ya kompyuta yako.
Muda wa mtihani ni mchache sana, ni dakika 50 tu au 40 (Kwa ambao tayari washafanya Hadi Sasa) hivyo Kila swali ni dakika moja na ushee.
Ndani ya lisaa kasoro ushamaliza na kumbuka usisahau kubonyeza "SUBMIT" mwisho kabisa baada ya kumaliza lakini hata usipobonyeza muda ukiisha inajisubmit automatically, pale juu kulia kwenye screen ya kompyuta yako Kuna muda una count, dakika na sekunde ndiyo zinahesabu tu pale juu, hivyo nenda na muda...vile vile unaweza kuanza na swali lolote lile na kurudia (kujibu) Yale mengine uliyoyaacha ilimradi uko ndani ya muda, kumbuka hata kama hujamaliza muda ukiisha pale juu jua ndo basi tena inajisubmit.
La mwisho kumbuka kusoma vizuri, usipite hvhv maana multiple questions hizo ziko very tricky hasa ukiwa hujasoma, soma virahisi, vya kati na vile vigumu...hii ni tofauti na ile ya mwanzo unaweza kukutana na familiar questions ila hii ya Sasa ni ngumu.
Mwisho ni kwamba, matokeo yako utayapata siku ile ile (kwenye akaunti ya ajira portal)hivyo aidha unaenda Dom au unaendelea na mambo yako.
Hii ni tip kidogo naamini itakupa mwanga kidogo.
Kwa wasiowajua utumishi wanawoana kama wastaraabu Fulani.
Wanaongeza received wanaona kazi washapata kesho tutarajie maswali mengi sana kuanzia mwezi ujao pindi watu watakapoona miezi mitatu imepita bila usaili wala kuitwa kazini.
Kiukweli katika steji mbaya na gumu kwa msaili ni kuuambja moyo tusubiri placement yawezekana niko kwa database .
Utumishi wamelemewa kwa kurundika watu kwenye kazi data ndo maana mpaka leo watu wa mwezj wa sita mwaka jana hawajawamaliza
Ndio inawezekana kubadilishaMkuu
Samahani
Mkuu kama ikitokea umechagua jibu Kisha baadae ukatambua umechagua jibu ambalo sio sahihi JE unaweza kubadilisha na kuchagua tena ?
Uzuri wa hizi received interview wa 10-12.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umeona eeh yaan watui wanaona wameshapata slope.muda si mrefu tutaanza kupokea message za misonyo hapa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂Ni kosa kisheria/kanuni za psrs, utashitakiwa kwa kuhujumu mtihani pitia kanuni za psrsWakuu ikitokea kwenye written ukadakwa unagoogle kwa tab nyngne au na nondo inakuaje hapo?
wataka uniambie kila nafasi inayotangazwa na utumishi ni ya gavoo ko hamna za private!
Mimi kada yangu mwaka jana .
Muhimbili waliajiriwa mara tatu lakini mwaka huu hawajaajiri hata mara moja.
Jkci waliajiriwa mara 2 database mwaka huu mmoja.
Moi walianiri mara 2 database mwaka huu olaa.
Ocean road waliajiri ,bugando yaani.
Ila mwaka huu mwezi wa nane Olaa naongea na jamaa yangu MNH ananiambia wan a shortage la kufa mtu kiukweli utumishi mwaka huu mambo yamewaendea kombo
Walishasema ukienda kwenye tab nyingine utakuwa umejitoa kwenye pepa moja kwa moja kulingana na mfumo walivyou design.Wakuu ikitokea kwenye written ukadakwa unagoogle kwa tab nyngne au na nondo inakuaje hapo?
System inareject mtihani wako automatic hata kama uka-screen shoot mtihani system inareject mtihani wako, kama kuna tatizo la mfumo kipindi unafanya pepa na kikawa kikwako kwa kufanya hilo pepa system ina screenshoot pepa lako katika windo uliyofungua au fikia then inaseve automatic challenge yako kwa ushahidi zaidi pia unaweza mwambia msimamizi wa kituo cha pepaWakuu ikitokea kwenye written ukadakwa unagoogle kwa tab nyngne au na nondo inakuaje hapo?
HIcho ndo nlikua nataka nijue nashukuru sana kwaufafanuzi murua wako na brother mwifwaBora hata hii system ya utumishi haina sheria nyingi zipo system za online test hata kama ukigeuka kichwa au kuangalia kwingine tofauti na windo ya pc/computer unakuwa tayali umefail pepa sytem ina reject pepa, huwa zinaunganishwa na web comera kulinga na walivyo iprogram
Uki Minimize tab mtihani una submit automatic na unakua umefeli..Wakuu ikitokea kwenye written ukadakwa unagoogle kwa tab nyngne au na nondo inakuaje hapo?
HatarUki Minimize tab mtihani una submit automatic na unakua umefeli..