Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kwa mfano kama address ya barua nimeandika sanduku la posta ya Dar halafu naishi Zanzibar kwenye profile details naweza fanyia online test zanzibar au inakuaje hapo?!
 
Wanaangalia wilaya na mkoa sio sanduku la barua. Kama umeandika wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, uwezekano mkubwa watakupangia Dar​
 
Back
Top Bottom