Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😀😀 kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni yaani unahisi taasisi za private nazo mchakato wake wa ajira huko utumishi ?
Mkuu kwaiyo hata chuo huria (OUT) ni cha serikali?

Mkuu wengine tumesoma tu tumaliza madarasa ila habari za elimu hata hatufuatilii kivile

Kuna recieved nyingi nimeacha kwa kuhisi ni private wataka uniambie kila nafasi inayotangazwa na utumishi ni ya gavoo ko hamna za private!
 
Samahani Mkuu una level gani ya elimu?
 
Back
Top Bottom