Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

yaani mtu unaumia hadi unazoea [emoji1787] [emoji1787] alafu unaumia tena
Kwa wasiowajua utumishi wanawoana kama wastaraabu Fulani.

Wanaongeza received wanaona kazi washapata kesho tutarajie maswali mengi sana kuanzia mwezi ujao pindi watu watakapoona miezi mitatu imepita bila usaili wala kuitwa kazini.

Kiukweli katika steji mbaya na gumu kwa msaili ni kuuambja moyo tusubiri placement yawezekana niko kwa database .

Utumishi wamelemewa kwa kurundika watu kwenye kazi data ndo maana mpaka leo watu wa mwezj wa sita mwaka jana hawajawamaliza
 
Mkuu
Samahani
Mkuu kama ikitokea umechagua jibu Kisha baadae ukatambua umechagua jibu ambalo sio sahihi JE unaweza kubadilisha na kuchagua tena ?
 

🤣 🤣 🤣 umeona eeh yaan watui wanaona wameshapata slope.muda si mrefu tutaanza kupokea message za misonyo hapa..🤣🤣🤣
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umeona eeh yaan watui wanaona wameshapata slope.muda si mrefu tutaanza kupokea message za misonyo hapa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri wa hizi received interview wa 10-12.

Kuitwa kazini January to march.

Kuanzia mwakani mwezi wa nne lugha ya database inaanza kuongelewa upya
 

Utumishi hawana mamlaka ya kujua shortage ya nguvu kazi kwa mwajiri fulani hilo ni jukumu la Mwajiri.

Mwajiri akibaini hiyo shortage ndio ataomba kupatiwa ridhaa ya kuajiri.

Atatuma barua kwenye Utumishi na Utawala bora kuhusu shida yake, akikubalowa ndio anatuma barua tena kwenda PSRS ili tangazo likatangazwe au apatiwe watu kutoka database(endapo kama wapo).

Sasa kwa hili huwezi kuwalaumu Utumishi
 
S
Wakuu ikitokea kwenye written ukadakwa unagoogle kwa tab nyngne au na nondo inakuaje hapo?
System inareject mtihani wako automatic hata kama uka-screen shoot mtihani system inareject mtihani wako, kama kuna tatizo la mfumo kipindi unafanya pepa na kikawa kikwako kwa kufanya hilo pepa system ina screenshoot pepa lako katika windo uliyofungua au fikia then inaseve automatic challenge yako kwa ushahidi zaidi pia unaweza mwambia msimamizi wa kituo cha pepa
 
Hiyo ni cheating ndugu so sytem itakutambua kama mpiga chabo 😁😂 soma vizuri na fuata sheria zote za pepa kama pepa zingine za kawaida kijan unazofanya
 
Bora hata hii system ya utumishi haina sheria nyingi zipo system za online test hata kama ukigeuka kichwa au kuangalia kwingine tofauti na windo ya pc/computer unakuwa tayali umefail pepa sytem ina reject pepa, huwa zinaunganishwa na web comera kulinga na walivyo iprogram
 
HIcho ndo nlikua nataka nijue nashukuru sana kwaufafanuzi murua wako na brother mwifwa
 
Habari naomba kuuliza ivi kwa zile nafasi za utendaji wa kijiji na Mitaa ukishatuma maombi unasubiri baada ya mda gani uitwe kwenye interview? kuna dogo analalamika apa kuna matangazo toka mwezi wa saba Mwanzoni katuma maombi na yameisha mda wake ila hadi leo bado hajaitwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…