Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Humu ndani kuna dingi alituambia Tamisemi wamewaambia utumishi wao hawana bajeti ya kuendeshea interview hivo watu tujiandae kupangiwa vituo vya kazi

Nikafurahi balaa naona jamaa wameuma meno hakuna kitonga lazima watu wakakandwe sijapenda ila sina namna
 
Wale wa Kada za Afya, post za TAMISEMI kaeni kivita sasa.

Baada ya kusubmit tu unajua mbivu na mbichi, hii itakusaidia kufocus na mengine tofauti na zamani ambapo ilikuwa unasubirishwa rondom selection kwa muda mrefu halafu unakuja kukosa nafasi.
 
Kwa hyo uki submit tu majibu unayapata hapohapo
 
Wale wa Kada za Afya, post za TAMISEMI kaeni kivita sasa.

Baada ya kusubmit tu unajua mbivu na mbichi, hii itakusaidia kufocus na mengine tofauti na zamani ambapo ilikuwa unasubirishwa rondom selection kwa muda mrefu halafu unakuja kukosa nafasi.
Mwifa hivi nikifanya Aptitude test then nikapass kuna usaili mwingine tena wa physical yaaani face to face au ukifaulu hapo ndio ushapata kazi🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…