oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Anamaanisha hayaMagroup gan tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha hayaMagroup gan tena
duh 275 wamepita wa-5...270 wamechoma nauliAnamaanisha haya
Asante ngoja nikabadili physical adress yangu nilijua wanaangalia adress ya ile barua ya kuombea kaziJibu hilo hapo View attachment 3079567
Afya si wamesema wanafanyia huko huko mikoaniduh 275 wamepita wa-5...270 wamechoma nauli
hii ndio utumishi, Afya wajipange
Hao wengine wamepewa asante kwa kushiriki.duh 275 wamepita wa-5...270 wamechoma nauli
hii ndio utumishi, Afya wajipange
dah si mchezo....badae unapata kazi unaanza kupangiwa matumiziHao wengine wamepewa asante kwa kushiriki.
Sio poa,wapambanaji wenzetu wameshanyolewa. Tutie maji, wakandaji wamekuja kivinginedah si mchezo....badae unapata kazi unaanza kupangiwa matumizi
Hapo unakuwa umepigwa kata funua, umechoma nauli na umekandwa. Dah! mpambanaji hachoki, ukiona kachoka ujue kapata. Tuendelee kujipangaHao wengine wamepewa asante kwa kushiriki.
Vitu vingine ni kujiongeza tu written unaenda Dodoma labda kama unapewa hela na baba. At least oral naweza kukuelewa.Hapo unakuwa umepigwa kata funua, umechoma nauli na umekandwa. Dah! mpambanaji hachoki, ukiona kachoka ujue kapata. Tuendelee kujipanga
Kwa hyo uki submit tu majibu unayapata hapohapoWale wa Kada za Afya, post za TAMISEMI kaeni kivita sasa.
Baada ya kusubmit tu unajua mbivu na mbichi, hii itakusaidia kufocus na mengine tofauti na zamani ambapo ilikuwa unasubirishwa rondom selection kwa muda mrefu halafu unakuja kukosa nafasi.
Kwa hyo uki submit tu majibu unayapata hapohapo
Mwifa hivi nikifanya Aptitude test then nikapass kuna usaili mwingine tena wa physical yaaani face to face au ukifaulu hapo ndio ushapata kazi🙏Wale wa Kada za Afya, post za TAMISEMI kaeni kivita sasa.
Baada ya kusubmit tu unajua mbivu na mbichi, hii itakusaidia kufocus na mengine tofauti na zamani ambapo ilikuwa unasubirishwa rondom selection kwa muda mrefu halafu unakuja kukosa nafasi.
Swali la kipuuzi Unataka ufanye online usifanye oral.Mwifa hivi nikifanya Aptitude test then nikapass kuna usaili mwingine tena wa physical yaaani face to face au ukifaulu hapo ndio ushapata kazi[emoji120]
La kipuuzi kwako kwa sababu unajua, kwa asiyejua sioni upuuzi hapo zaidi ya kumjuza ndio maana kaulizaSwali la kipuuzi Unataka ufanye online usifanye oral.
Usiseme swali la kipuuzi kaka, kwanza hawa kada ya Afya hawajazoea hizi mambo, hizi mambo tumezoea sisi maregend😁Swali la kipuuzi Unataka ufanye online usifanye oral.
Weka currently address.aloo assume ulijaza adress uko Kagera katika harakati za maisha ukaenda mkoa wa katavi hapo huoni itakuwa ni changamoto, why wasiweke mfumo wa mtu kufanyia mkoa wowote tu ilimradi details zake za mfumo ziko sawa na kwenye mkeka wa watu wa kufanya usahili yupo
Shukrani nishafanya hivoWeka currently address.