Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Internet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google.
Kivipi mkuu na internet ipo
Uki Minimize au ukifungua new tab automatic system ina submit na unakua umefeli.
 
Kwahiyo Braza upo kwenye Database toka 2023 mpaka leo ila jamani jamani sijui niwe chawa wa mama nipate chochote kitu
 
Kwahiyo Braza upo kwenye Database toka 2023 mpaka leo ila jamani jamani sijui niwe chawa wa mama nipate chochote kitu
Sasa database si ina mwaka au ww ndo haujaelewa mfano nmefanya oral mwaka jana November je database ime expire au bado
 
Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Ukifungua Browser nyingine umejimaliza, system itasubmit pepa hapo hapo hata kama hujafanya swali lolote.

NB: Mliowahi kutumia hiyo Online mtanisahihisha hii kauli yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…