Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Aiseee 😂Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee 😂Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Kivipi mkuu na internet ipoInternet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google.
Internet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google.Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Uki Minimize au ukifungua new tab automatic system ina submit na unakua umefeli.Kivipi mkuu na internet ipo
Kama ndio hivi rahisi sana kubypassInternet ipo vizurii tu ila huruhusiwi ku google.
Uki Minimize au ukifungua new tab automatic system ina submit na unakua umefeli.
Thanks kaka kwa hyo elimuNdio, kama ni 50% utaiona imekuwa displayed, then baadae ndio zitafuata SELECTED, NOT SELECTED for Oral kupitia Akaunti za Ajiraportal na PDF ya matokeo
Ila ww jamaa bhana 😂Kama ndio hivi rahisi sana kubypass
Kwahiyo Braza upo kwenye Database toka 2023 mpaka leo ila jamani jamani sijui niwe chawa wa mama nipate chochote kituNilikuwa siko hewani kwa siku kadhaa.
Nimeona leo nimetagiwa sana na watu wakidai mimi naogopa usaili naomba niwape historian fupi yangu na utumishi.
Mwaka 2022 nilifanya usaili wa utumishi nikakandwa kwa marks kidogo sikufanikiwa kufika Oral.
Mwaka 2023 mwanzoni nikafanya tena usaili nikakandwa.
Mwaka 2023 mwishoni nikafanya usaili katika Taasisi kubwa ya afya nikatoboa Hadi oral.
Hapa kidogo nilaanza kujipa matumaini ha kazi ila mpaka sasa Olaa japo database wanaendelea kuchukua.
Hivyo niwaweke wazi nimeshaandaa module za kutosha nimesharudi shule.
Mimi nilikuwa napinga usaili kwa sababu kadhaa.
Tamisemi walikuwa wanazoa zoa wanajua mishahara yao ni miduchu.
Ila tuachane na hayo watu wa afya tujipange na usaili kwa mimi nishazoea wala siogopi chochote.
Mniombee lakini msisahau.
Usiku mwema
Rahisi sana mkuuIla ww jamaa bhana 😂
Lakini si Ina display asilimia.Sio kweli mkuu mfumo hautoi majibu hapo kwa hapo.
Sasa database si ina mwaka au ww ndo haujaelewa mfano nmefanya oral mwaka jana November je database ime expire au badoKwahiyo Braza upo kwenye Database toka 2023 mpaka leo ila jamani jamani sijui niwe chawa wa mama nipate chochote kitu
Kaka mbaga niambie Pdf haziko kabisaIla ww jamaa bhana [emoji23]
Sasa hv wanashughulikia nyomi ya waalimu na watu wa afyaKaka mbaga niambie Pdf haziko kabisa
Mm Mwenyewe afya nasubiri kukandwa huku nachungulia mikeka ya databaseSasa hv wanashughulikia nyomi ya waalimu na watu wa afya
HapanaLakini si Ina display asilimia.
Hahahaha IT ww unaeza fanya jambo ila na wao wamejipanga.Kama ndio hivi rahisi sana kubypass
Ukifungua Browser nyingine umejimaliza, system itasubmit pepa hapo hapo hata kama hujafanya swali lolote.Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
OkSio kweli mkuu mfumo hautoi majibu hapo kwa hapo.
Mm Mwenyewe afya nasubiri kukandwa huku nachungulia mikeka ya database