Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pamoja na hayo sanfoundry inakupa mwanga mzuri katika maandalizi,ukipitia maswali yote yale kila topic ata wasipo copy na paste basi watauliza kitu kile kile ila kwa kingereza cha bongo
Mule kuna maswali mengi sana na wengi huwa hawayamalizi😂
Kweli mim huwa napitia hapo tu ...naingia paper
 
Back
Top Bottom