sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Muacheni msomi.
Uwe unafanya prof reading mkuu kabla hujatuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unafanya prof reading mkuu kabla hujatuma
Uwe unafanya prof reading mkuu kabla
Usikaze fuvu ilo mkuu,umeshaelewa inatoshaUwe unafanya prof reading mkuu kabla hujatuma
Sawa engineerUsikaze fuvu ilo mkuu,umeshaelewa inatosha
siku hizi wanatupiga chenga ya mwili, hawatoi sana uku unaweza kuta swali moja tuSawa engineer
Ingia hapa sanfoundry.com
= ProofreadingUwe unafanya prof reading mkuu kabla hujatuma
Haya ndio maneno sasa shukranSawa engineer
Ingia hapa sanfoundry.com
siku hizi wanatupiga chenga ya mwili, hawatoi sana uku unaweza kuta swali moja
Kwengine wapi mkuu,lete vtu hvyoosiku hizi wanatupiga chenga ya mwili, hawatoi sana uku unaweza kuta swali moja tu
😂= Proofreading
Watakuwa wanatunga maana kiingereza kinachotumika ni cha kibongo...maswali mengine hata hayaeleweki...si unajua grammar zetuKwengine wapi mkuu,lete vtu hvyoo
Huwa wanapita wapi??siku hizi wanatupiga chenga ya mwili, hawatoi sana uku unaweza kuta swali moja tu
WanatungaHuwa wanapita wapi??
Pamoja na hayo sanfoundry inakupa mwanga mzuri katika maandalizi,ukipitia maswali yote yale kila topic ata wasipo copy na paste basi watauliza kitu kile kile ila kwa kingereza cha bongoWanatunga
Kweli mim huwa napitia hapo tu ...naingia paperPamoja na hayo sanfoundry inakupa mwanga mzuri katika maandalizi,ukipitia maswali yote yale kila topic ata wasipo copy na paste basi watauliza kitu kile kile ila kwa kingereza cha bongo
Mule kuna maswali mengi sana na wengi huwa hawayamalizi😂
Tupia hiyo link mzee na sisi tuipitieKweli mim huwa napitia hapo tu ...naingia paper
si hapo sanfoundryTupia hiyo link mzee na sisi tuipitie
Mzee utumishi wanakula perdeim wamesambaa mikoa yote Tz nadhani ukitaka Pdf kuanzia 12/9Ridhiwan kaingia na sera gani uko, mbona no pdf
Hii ronja ina mashikoMzee utumishi wanakula perdeim wamesambaa mikoa yote Tz nadhani ukitaka Pdf kuanzia 12/9
Duh wakimaliza hii wanakuja ya walimuMzee utumishi wanakula perdeim wamesambaa mikoa yote Tz nadhani ukitaka Pdf kuanzia 12/9
Mikeka tuisahau kidogo wote wamegoma kibali dodoma katibu ndo yuko kusimamia pdf ya walimu maana itakuna page 1000+ afya ilikuwa na 600+Duh wakimaliza hii wanakuja ya walimu