El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
hawa jamaa sio wa kuwafatilia aisee mie nilijua nitakutana na gunia la mapdf🤣🤣🤣shwaaaaaa
hawa jamaa sio wa kuwafatilia aisee mie nilijua nitakutana na gunia la mapdf🤣🤣🤣shwaaaaaa
Kumbe jamaa alikuwa anakaimu....dah kwahyo anampokea bosi mpya na kumpa maelekezo...hii huwa inauma sanaMkandaji mkuu huyu hapa kutoka Jengo Jeupe.
Bomani kakaimu sana hii nafasi halafu haijamtoshaView attachment 3085274
Ndio.Kumbe jamaa alikuwa anakaimu....dah kwahyo anampokea bosi mpya na kumpa maelekezo...hii huwa inauma sana
Dah yaani kumpokea mtu alafu unaanza kumuelekeza kaz ulizofanya mwaka inauma sana....Ndio.
Kakaimu zaidi ya mwaka sasa
Wangemfungia asiajiriwe popote Tena hapa Tanzania na Africa mashariki. Jamaa kazingua Sana mambo yasiyo na tija kaipelekea wizara. Yaani acha aonje kitaaMkandaji mkuu huyu hapa kutoka Jengo Jeupe.
Bomani kakaimu sana hii nafasi halafu haijamtoshaView attachment 3085274
Atakuwa mtumishi kwa nafasi yake nyingine aliyokuwa nayo mwanzo.Wangemfungia asiajiriwe popote Tena hapa Tanzania na Africa mashariki. Jamaa kazingua Sana mambo yasiyo na tija kaipelekea wizara. Yaani acha aonje kitaa
Huyo alikaimu tu na sasa ataendelea na utumishi wake kama kawaida kwa nafasi nyingine ama ile aliyokuwa nayo mwanzo kabla ya kukaimu au nyingine atakayopewa hapo PSRS.Mkandaji nae leo kakandwa
Wanaofanya mtihan wa kuandika ndio shida...naona raia wanalalamika uko portal limemewabumia halafu hawajachukua namba
Wanaofanya mtihan wa kuandika wataikuta kwenye makaratasi ya kusign..
Wale wa online...hakuna haja ya namba ukiingia kwenye mfumo unaikuta
Aptitude test haina haja ya namba Ukisha login utakuta detail zako kweny dashboard.naona raia wanalalamika uko portal limemewabumia halafu hawajachukua namba
Wangemfungia asiajiriwe popote Tena hapa Tanzania na Africa mashariki. Jamaa kazingua Sana mambo yasiyo na tija kaipelekea wizara. Yaani acha aonje kitaa
Aisee
Mbona roho mbaya kaka? Utapata tu kazi, tatizo sio mshkaji bwana usimnenee mabaya mshkaji yuko vizur
Kwamba katibu aliye kuepo ndo alikuwa kizuizi cha pdf kutoka ama bajeti ndo kikwazo?? Very lowKwa Katibu huyu tutegemee pdf za kutosha, kimya kirefu sana aje na speed kubwa na asipoe
Rushwa mkuu ilikua imekithiri kkKwamba katibu aliye kuepo ndo alikuwa kizuizi cha pdf kutoka ama bajeti ndo kikwazo?? Very low
Ilo wazo lako mkuu bora utulie nalo na mtu asithubutu kuchukua vitambulisho fake kuna watu wa usalama wa taifa ni wasimamizi pale mkuu ohoo ukidakwa ww ujue ajira ndio basi tenaYani watu wa afya mngetuuliza wa IT tukawatengenezea vitambulisho hata vya kinmagumashi hakuna anaye scan barcodes pale
Rushwa haipo utumishi tu..ni system yote ipo corrupted chini ya CCM.Rushwa mkuu ilikua imekithiri kk