Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Ohoo sawa mkuuNdio hizi Zina maana yake kwamfano hapo hizo wilaya na mikoa kuna mugawanyiko wa madaraka pale lazima ujue na structure of district or municipal council na ujue kazi zake
Shukurani ndo leo mkuu tupia nondo.Kesho basi nikipata muda wakuzipitia vizuri nitajitahidi nitume humu
Tuombe munguLeo ndo jumanne mtafiti wetu anasema jumanne haipiti bila pdf
Tuombe mungu.Ok, mimi pia nasubiria hizo mkuu.
Sawa mkuu, na maombi yaendelee.Mwenyezi mungu akubaliki, Niko nyuma yako MDAs and LGAs nitaleta kila hatua apa nasubili PDF apa.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Tuko pamoja last chance.Saea mkuu, na maombi yaendelee.
Mkono kwa mkono hadi kwenye mrija wa Asali
Ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeniona mimi kweli???_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.A is eee[emoji3][emoji3][emoji3] umejitahidi
Hahahahaa, ila jumanne bado zipo huko mbeleni ndani ya mwezi huuLeo ndo jumanne mtafiti wetu anasema jumanne haipiti bila pdf
Mm niliapply afisa biashara dearOya Mtakwimu yesamrich tujuane tupeane madude ayo ya kitakwimu
Anhaaaa sawa, Nimeona link uliyoshare nikafungua nikakuta umescreenshot icho kipengele Cha Mtakwimu II ndio nikaomba ushirikiano wako.Mm niliapply afisa biashara dear
Placement inatoka mwezi ujaoπHahahahaa, ila jumanne bado zipo huko mbeleni ndani ya mwezi huu
Kwanza ujue your education background.pili uzijue duties za post yako vizuri maana miongoni mwa maswali mengine yanatoka huko,.@wizy alieleza vizuri huko juu kuhusu maswali common ambayo unaweza ulizwa na utayajibu kulingana na kada husikaMm niliapply afisa biashara dear
Education background hiyo ni oral,me nataka possible za written mana hata written bado kuitwaKwanza ujue your education background.pili uzijue duties za post yako vizuri maana miongoni mwa maswali mengine yanatoka huko,.@wizy alieleza vizuri huko juu kuhusu maswali common ambayo unaweza ulizwa na utayajibu kulingana na kada husika
ππππnje ya mada kidogo hiyo avatar ni wewe?afu ndo tuendeleeEducation background hiyo ni oral,me nataka possible za written mana hata written bado kuitwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nje ya mada kidogo hiyo avatar ni wewe?afu ndo tuendelee
Lakini wakike au sio?ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana bana