Mkuu thibitisha serikalini ya mama ipo safi sana wananchi wamefikiwa wote no upigajiKwahy kodi za wananchi zinalika kwenye perdiem za interview tuu, ila wapigaji wa kodi kwa manufaa yao binafsi huwaoni?
Umetoa hoja ya kifala sana mzee wangu.
Katibu ndiye mtendaji mkuuKwamba katibu aliye kuepo ndo alikuwa kizuizi cha pdf kutoka ama bajeti ndo kikwazo?? Very low
Nmekuuliza,yeye ndo alikuwa anachelewesha vibali vya ajira kutolewa?Katibu ndiye mtendaji mkuu
Kama alikuwa hawashinikizi wahusika automatically kahuska kuchelewesha. Ukute alikalia kumsifia tu mama, unategemea atakuwa na loloteNmekuuliza,yeye ndo alikuwa anachelewesha vibali vya ajira kutolewa?
👇Rushwa mkuu ilikua imekithiri kk
😂Mkuu thibitisha serikalini ya mama ipo safi sana wananchi wamefikiwa wote no upigaji
Hawa watu walioko kwenye system wanatuchukulia poa Sana tulio nje ya system ndio maana kutakiana mabaya ni jambo la kawaida. Wewe una ona ni sahihi majobless wanayoyapitia?
Rushwa mkuu ilikua imekithiri kk
Baraka haziwezi kimbia. Mengine umeongea sawa
Hakuna kitu chochote cha ajabu ambacho jobless anapitia. Mchakato wa ajira ni process inayoinvolve players wengi. Na tatizo haliwezi kuwa mtu mmoja bali mfumo mzima ulivyo.
We all have been there. Zamu yako itafika na kama Mungu amekuandikia hiyo kazi utaipata wala hakuna shaka juu ya hilo. Zamu yako ikifika hakuna wa kuzuia.
Mwaka 2019, nilifanya interview moja tu na ya kwanza ya PSRS na nikalamba asali right away. Mdogo wangu Mwifa amefanya interview nyingi hadi kuja kulamba asali. Lakini leo wote tumesahau na kila mtu anaendelea na maisha.
Usikate tamaa ukakufuru hadi kuanza kuwatakia wenzio mabaya, utakimbiza baraka zako. Katibu sio tatizo. Kwa uzoefu wangu, ukitaka kupata ajira serikalini fanya yafuatayo.
Muamini Mungu. Yani kuwa na imani kwamba kuna higher being mwenye nguvu kuliko wewe na mwenye uwezo wa kukusukumia mambo yako yakaenda. Fanya maandalizi ya maana. Soma sana kada yako. Kifupi imaster taaluma yako ili popote watakapokuleta usiwe na shida Omba kazi zote na attend saili zote uongeze possibility ya kupata hiyo kazi. Inabidi uwe smart kwa ujumla Wakati unasubiri michakato ya ajira ya serikali, unaeza pia anza kuangalia michakato mingine ya private sector au ajira binafsi na ujasiriamali mdogo mdogo ili usiwe idle ukawa na pressure kubwa ya kusubiri matokeo
duu mie imegoma kabisa portal kufunguka au mmetumia appsam mirror 1 status bado ziko fresh...hawajagusa uko , tusubiri PDF
Naona kuna shida kwenye APP yao pamoja na BROWSER. Hivi kuitwa kwa interview napataje notification?duu mie imegoma kabisa portal kufunguka au mmetumia app
Mkuu bado ipo selected for oral tuzidishe maombi tu mambo yawe BAM BAM.sam mirror 1 status bado ziko fresh...hawajagusa uko , tusubiri PDF
sam mirror 1 Mzee wa AICCMkuu bado ipo selected for oral tuzidishe maombi tu mambo yawe BAM BAM.
Hahaha 🤣 🤣 😂 😂 iyo nimekubali nililiwa kichwa,sam mirror 1 Mzee wa AICC
wanatoaga majina kwenye website yaoNaona kuna shida kwenye APP yao pamoja na BROWSER. Hivi kuitwa kwa interview napataje notification?
Labda tuwakumbushe tu, Siku ya kufanya oral wabebe makabrasha yote kama walivyobeba kwenye written. Wasije kusema hatukuwaambiaSisi Wabongo jinsi tulivyo, Usishangae na waalimu nao wakaja na hizi hizi vilio vya sasa vya watu wa afya, yn wote wakawa na same cases, wakati waalimu wako humu na wanaona yanayoendelea kwa watu wa afya.
Lakini tusitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kumbuka huyo aliyekaimu ndiye mkurugenzi pia wa HRs kama sio utawala pale PSRS. Bado ni mkandajiKumbe jamaa alikuwa anakaimu....dah kwahyo anampokea bosi mpya na kumpa maelekezo...hii huwa inauma sana
Hata hapo pia watasahau, we subir tuuLabda tuwakumbushe tu, Siku ya kufanya oral wabebe makabrasha yote kama walivyobeba kwenye written. Wasije kusema hatukuwaambia