captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Huyu hakuwa na practical lakini ikabadilika akaandikiwa ivyoHyo aendelee kupambana
Kutokana na research na wadau wengi walivyosema umu ndani ukiona not selected ujue umeliwa kichwaNa mwenye not selected for practical interviews na wakati Hana option ya practical. Hii nayo imekaje
Lkn hakufika oral au alifika oralHuyu hakuwa na practical lakini ikabadilika akaandikiwa ivyo
Alifika oral ila kozi Yake haikuwa na practicalLkn hakufika oral au alifika oral
Hyo status mpya...sijuiAlifika oral ila kozi Yake haikuwa na practical
Nimemaliza written nasubiri oral wiki ijayo.Mkuu vp karibu bana...umemaliza paper?
Kila la kheri mkuu.Nimemaliza written nasubiri oral wiki ijayo.
Ila mm nataka database hizi za tamisemi sizipendi.
otNimemaliza written nasubiri oral wiki ijayo.
Ila mm nataka database hizi za tamisemi sizipendi.
Hongera kwa kupita writtenNimemaliza written nasubiri oral wiki ijayo.
Ila mm nataka database hizi za tamisemi sizipendi.
Nadhani ndo kitu cha kupambania maana hizi taasisi hatujapata mpaka leo na oral tulifanya.Popote kambi mchawi check number
ot
Wapi uko kunaogopwaNadhani ndo kitu cha kupambania maana hizi taasisi hatujapata mpaka leo na oral tulifanya.
Ngoja Tuangalie hivi za afya maana mwajiri mkoa.
Mm niliomba mkoa ambao kila mtu anauogopa
SumbawangaWapi uko kunaogopwa
Ila kaza mkuu naamini utapita maisha popote Afu mchawi miradi ya kutosha kutoboa kupo.
Nafasi nyingi watu wamekimbilia sijui dodoma,arusha,mbeya,mwanza mimi nimeomba Sumbawanga ..Wapi uko kunaogopwa
Ila kaza mkuu naamini utapita maisha popote Afu mchawi miradi ya kutosha kutoboa kupo.
Mkuu kote uko kuna watu, ila basi Tu tushajijengea Ka hofu iv, na siajabu uko ndo unatoboa Zaidi vizuri mpaka unaeza usitaman kuhama, kikubwa kufikir nje ya boksi mshahara pekee hautoshi fursa NI nyingi Sana kikubwa kianzio tuNafasi nyingi watu wamekimbilia sijui dodoma,arusha,mbeya,mwanza mimi nimeomba Sumbawanga ..
Nikipata check number nitahama mwaka wowote au ninaweza kubaki huku huku
Ajira za Bunge kumbe hasaini Katibu wa psrskuna placemant uko la bunge.
Kaza mkuu Mungu akubaliki katika mapambano yako naamini tunatoboa mwaka huu.Nafasi nyingi watu wamekimbilia sijui dodoma,arusha,mbeya,mwanza mimi nimeomba Sumbawanga ..
Nikipata check number nitahama mwaka wowote au ninaweza kubaki huku hukum