Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Walimu pdf lao soon linakuj wakae mkao wa kula, kuna dalili kubwa sana kukawa na mapumziko yasiyozidi cku tatu baada ya usaili wa mahojiano kada ya afya kumalizika tarehe 13 sept ,ni mwendo wa kubandika bandua hili nalo liishe watu wadeal na ratiba zingne , taifa lina mambo mengi ya kufanya nackia hata education kuna masomo watakuwa na usaili wa mahojiano tu, kama ilivyokuwa kwa baadhi ya kozi za afya
 
Ila ukifanya interview za MDAs hadi ukapangiwa kazi Inabidi uwe na back ya moyo, maana moyo utauma sana na presure juu so andaa moyo wa backup!😁😁😳,kuna member hadi leo hazijapangiwa zote zilizo ingia interview, sasa sijui waitisha usahili wa nini kama mambo hayako poa now zaidi ya mwaka, ndo hivyo Mahenga alisemaga mkubwa atabaki kuwa mkubwa hata kama akifanya madudu, ila huu ni ujinga uliyopitiliza looh!
 
Tukutane msimu mpya wa fedha 2025/2026 😂
 
Wakuu hivi hapa mtu mwenye bachelor pekee anaruhusiwa kuomba au lazima uwe na masters pia (yaani vyote kwa pamoja)
Screenshot_20240909-170310.png
 
Back
Top Bottom