Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu.
Kuna dogo hapa kapata multiple selection hizi za vyuo vikuu.
1. bachelor of science in renewable energy engineering -UDOM
2. agricultural engineering - SUA
3. bachelor of technical education in electrical and electronics engineering - MUST

Naombeni ushauri hapo apite na kozi gqni ?
Aende sua
 
Hivi 'tutorial assistant' oral wanaulizaga nin? au unachagua topic ya kupresent?
 
Mm nafanya sumbawanga majamaa ya utumishi yako kama 15 na gari lao kama cruiser mbili plus Tanzania nzima.

Kiukweli dodoma sidhani kama kuna watu watakuwa wamebaki walinzi.

Watu wanaponda maisha.
Hapo mbona wamebana matumizi mzee...watu 15 gari mbili...wamekaa mpk sehem ya mizigo
 
Mwisho wa usaili wa watu wa afya ni Ijumaa 13 Septemba, baada ya hapo tutapata mapumziko mafupi ya wiki mbili then wageukie waalimu ambao usaili wao utaenda kwa wiki mbili 😎 baada ya hapo tutaenda mapumziko mafupi ya wiki mbili then tugeukie wale LGA's na MDA's wa kada nyinginezo 😎

Kwahy hapo kuna kama wiki saba au nane mpaka wale wa kada zingine kuitwa usaili 😎
 
Ni noma mkuu
 
watoe pdf usahili sio muhimu sana
 
Back
Top Bottom