Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Katika Oral zote ya mwaka huu imetia fola.

Jamaa hawana muda wa kupeti peti kama tulivyozoea.

Ukijibu Point 3 unasema ufikirie wahsaenda swali linalofuata.

Wakali.,wako harsh.

Mengine tuwachie wao
Sasa mko buku sita halafu wanahitajika buku unategemea nn zaidi ya kupigwa panga wakikuona unajishikashika.
 
Wakuu, mm n videographer. Sasa mara nyingi nikiwa naomba kazi hua wanataka nitume portfolio yangu inayoonyesha kazi zangu.

Naombeni msaada wenu wa kujua namna ya kuandaa hy portfolio au kama kuna apps za kuandaa portfolio mnionyeshe mana nimezunguka play store nmekosa.
 
hao ni utumishi au private
 
Weka kazi zako unazo fanya za videograph either in video format, pdf na picha picha
 
Back
Top Bottom