PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
Kwenye writen pitia kwanza qualification ambazo mwajili anazitaka alafu pitia kwanza kwa kusoma notes zile zile za chuoni kulingana na fani usika soma thn tenga mda usisome kinotes tena soma kimaswali, kuna zile website ambazo zina maswali na majibu zipitie sanaa, usichague website moja hapana changua website tofauti tofauti na unayoyaelewa majibu yake jifunze na mapya ambayo auyaelewi ww yakalili tu, uki y kalili mara kwa mara utajikuta unayaelewa 😁..Mkuu kwa faida yangu nawengine kitu gani kikubwa ulijifunza kwenye written zako?
Ila soma kama vile hautofanya mtihani mwengine baada ya huo maana ajira imekua vita kipind iki dhaifu analiwa..