Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili wa tutorial assistant lakini amepoteza cheti cha form 6. anaejua taratibu za kupata chet mbadala maana utumishi hawana huruma kwenye hilo
Ila sisi jobless sometimes hatuko serious aisee, hapo ukimuuliza hicho cheti amekipoteza lini atakuambia hata miezi sita nyuma.
 
nadhan ni wote, watakuwa na maboresho nadhan...ili ianze kusoma ile sehem ya placement...ukipata kazi unakula notification na unaikuta kwenye placement

nadhan ni wote, watakuwa na maboresho nadhan...ili ianze kusoma ile sehem ya placement...ukipata kazi unakula notification na unaikuta kwenye placement pale
Kama wakifanya hivyo itakua vyema sanaa..
 
Acha kuwatetea msaka tonge mwenzetu.

Nimefanya oral staasisi kubwa na treatment ya juzi ilikuwa ya ovyo.

Kwanza hakuna panel ilikuwa na watu 100.

Wasaili walikuwa wanne wasailiwa walikuwa 20 inategemea na kada.

Muda DK 15.

Ila wengi wamefanya Dk 5 hadj 10 tena kwa kukimbizwa puts puta.

Asubuhi wanajizungusha wanakuja kuanza pepa saa 7 mchana baada ya kula unategemea nini hapo ?

Kiukweli hatuwezi kueleza mengi ila walikuwa Harsh.

Unashangaa ww unawatetea msubiria mikeka mwenzetu
Tukutaneni barabarani tarehe 23 September. Si Kwa madhira haya tunayopitia watanzania wasaka ajira. Wakuu tutafute muafaka na namna mpya ya kupatiwa ajira.
 
Ila sisi jobless sometimes hatuko serious aisee, hapo ukimuuliza hicho cheti amekipoteza lini atakuambia hata miezi sita nyuma.

kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili wa tutorial assistant lakini amepoteza cheti cha form 6. anaejua taratibu za kupata chet mbadala maana utumishi hawana huruma kwenye hilo

Nenda necta kuna barua watakuandikia ambayo inasimama kwa m badala wa iko cheti na uwa kinatambulika na kufanya kila kitu ambacho cheti kinafanya..
 
Kabla hujajibu hv ungepaswa kuuliza, hicho cheti amekipoteza lini hapo ndio utajua kundi la kumuweka huyu mtu
 
Ndiyo hivyo mkuu. Me hata siogopi chochote Kwa namna hii navyoshuhudia watu wanafaidi keki ya taifa afu wengine tuje tushindanishwe na waliomaliza 2023 wakati tulimaliza 2015, 2016 huko. Yaani ni kusonga mbele tu

Ebu elezea vizuri iyoo mkuu, kwann wa 2015 asiwe amefanikiwa kupata ajira na wa 2023 afanikiwe kupata ajira?
 
Habari...Walimu wanatakiwa kucomfirm employer .....ingia kwenye account yako muda huu kacomfirm employer wako
 
Kumshindanisha usaili aliyemaliza 2015, 2016 na aliyemaliza 2023 ni dalili tosha za kutoswa na kutelekezwa aliyemaliza 2015, 2016.
Sasa hyo iliyotokea ya ambae ali ipata aliyemaliza 2023 kwanini asinge ipata uyo wa 2015. Tatizo naona wengi waliomaliza uko nyuma sana kama 2015 walitafutaga kazi thn ikafika kipind wakaacha kufuatilia labda baada ya mikando ya kutosha kiukweli haitakiwi kua ivyo mfumo hii mitihani ya awa jamaa wa ajira portal kaadri unavyoifanya kuna namna ukakua competent zaidi na ndo inapokufungulia bahati zaidi ya kupata nafasi, ukiamua kukaza kazi mpka mwisho kila post inayoendana na unachokifanya ww apply wakikukanda ludi home angalia ulipishana nao wapi jifue jiweke tena imara zikitoka nyengine luka nazo mwisho unajikuta umetoboa..

Mimi mwanzo zilikua zinanipa wakati mgumu hata writen nilikua sivuki ila kuna kitu nilijufunza nikawa kila writen nina uhakika wa kuvuka ila pract ikawa shuhuri ila baadae pia kuna kitu nikajifunza mara ya mwisho nimetoboa pract mbili na kuingia oral ingawa sijaitwa bado na wenzangu walishaitwa makazini lakini pia nako oral kuna kitu nimejifunza, sasahiv naomba mungu waniite izi nilizo apply natumae experience niliyoitapa itanisaidia..

Uku utumishi ni hakuna kukata tamaa mpka kieleweke na uku uzuri wake ni gombania gori mwenye msuli anakula shavu..
 
Mkuu kwa faida yangu nawengine kitu gani kikubwa ulijifunza kwenye written zako?
 
Back
Top Bottom