Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu kwa faida yangu nawengine kitu gani kikubwa ulijifunza kwenye written zako?
Kwenye writen pitia kwanza qualification ambazo mwajili anazitaka alafu pitia kwanza kwa kusoma notes zile zile za chuoni kulingana na fani usika soma thn tenga mda usisome kinotes tena soma kimaswali, kuna zile website ambazo zina maswali na majibu zipitie sanaa, usichague website moja hapana changua website tofauti tofauti na unayoyaelewa majibu yake jifunze na mapya ambayo auyaelewi ww yakalili tu, uki y kalili mara kwa mara utajikuta unayaelewa 😁..
Ila soma kama vile hautofanya mtihani mwengine baada ya huo maana ajira imekua vita kipind iki dhaifu analiwa..
 
Shukrani mkuu nimeibeba Asante sana
 
n

ni uzembe amefanya kweli, maana hata hakumbuki ni mda gani amekipoteza.
Halafu sasa hv ety ndio anajifanya kuuliza itakuaje, hawa ndo wakienda kwenye usaili wakifukuzwa wanaona wameonewa kumbe uzembe wao tuu, yn mtu mpaka majina yametoka ety ndo anakumbuka hana cheti 🗑️
 
Nafikiri huu ni mtego pia....inawezekana kukafanyika oral 2 siku 1 ....au kukawa na tofauti ya siku 1...
Chamsingi kwao ni kuchagua mkoa mmoja wa kuupambania masomo yako.
H system bhana 😂 yn una comfirm mkoa ambao wamekuwekea pale halafu tena bado wanataka uchague mkoa
 
Walimu bora uchague bush uko competition ni ndogo alafu ukifika uko unaheshimika kwel
 
Hivi hapa Si kubadilisha kwenye nida tu au na kwenye kuzaliwa ili yaendane na Academic yaani yawe PELIUS M LAURENT?

ACADEMIC CERTIFICATES: PELIUS M LAURENT
KUZALIWA: PELIUS MUKIZA LAURENT
NIDA: PELIUS MUKIZA KALENGELEZI
 
H system bhana 😂 yn una comfirm mkoa ambao wamekuwekea pale halafu tena bado wanataka uchague mkoa
Hapo nadhan wamefanya hivyo ili mtu achague sehem iliyo karibu yake asije sema oooh mimi nipo sumbawanga alafu interview nimepangiwa chato, hakutakua wa kumlaumu. Yani hapo maana yake chagua ambapo utaweza kwenda kwenye interview zote mbili.
 
Kalipie
Hivi hapa Si kubadilisha kwenye nida tu au na kwenye kuzaliwa ili yaendane na Academic yaani yawe PELIUS M LAURENT?

ACADEMIC CERTIFICATES: PELIUS M LAURENT
KUZALIWA: PELIUS MUKIZA LAURENT
NIDA: PELIUS MUKIZA KALENGELEZI
kalipie NIDA hiyo wabadilishe iwe Laurent
 
Hapo nadhan wamefanya hivyo ili mtu achague sehem iliyo karibu yake asije sema oooh mimi nipo sumbawanga alafu interview nimepangiwa chato, hakutakua wa kumlaumu. Yani hapo maana yake chagua ambapo utaweza kwenda kwenye interview zote mbili.
Umeingia kwenye hy system ukaona jinsi ilivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…