Eeeh bwana eeeh....hali ndio hii tenaNdugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Safi sana nimeipenda hii, kama huna 50% bc kalale kwenu π€Ndugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Mbaga unaonekana we kipanga sana πSafi sana nimeipenda hii, kama huna 50% bc kalale kwenu π€
TA cut marks 70Safi sana nimeipenda hii, kama huna 50% bc kalale kwenu [emoji1666]
Lazima upambane ili kutoboa, huwezi kuwa mlegevu halafu utegemee kutoboaMbaga unaonekana we kipanga sana π
Safi, ili kuonyesha wanafunzi kuwa haukuwa mwalimu wao kwa kubahatisha πͺTA cut marks 70
Watatuua sasa wakitangaza tena hao majamaa wataomba na GPA zao 3.8Safi, ili kuonyesha wanafunzi kuwa haukuwa mwalimu wao kwa kubahatisha [emoji123]
Safi sana nimeipenda hii, kama huna 50% bc kalale kwenu π€
Safi sana nimeipenda hii, kama huna 50% bc kalale kwenu π€
PSRS wamesema ubaya ubwelaHii inaitwa kuingia database sio lelemama au vip? ππ
ππ kudadeki huu uzi hua nausoma kimya kimya ila umenifanya nipige chafyaππ aisee!!!!!!Ndugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
El marabiosh naskia ww ndo huyo uliyepata 2.00% πNdugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Haah...electrical wamekimbia siwaoniEl marabiosh naskia ww ndo huyo uliyepata 2.00% [emoji23]
Hawataki kuja kuwatetea wenzao πHaah...electrical wamekimbia siwaoni
@el maribiosh hii 2 ya nani?Hawataki kuja kuwatetea wenzao [emoji23]
Elmarabiosh na mwenzako Rahsully mmeona mikando ya Electrical Engineers hukoo , soma hiyooo EngineersNdugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Hali mbaya ,Tushakuwa madalali , sasa hivi uanze kuniuliza masuala ya plc ,scada ,DCs , instrumentation na mazaga gani sijui ,lazima nikutukane aisee πππππHawataki kuja kuwatetea wenzao π
Ni namba za viatu mpaka basi , ninyi waalimu manesi na maeendeleo ya jamii msicheke aiseeNdugu wakandaji wa PSRS punguzeni hasira na jobless na sisi tuna familia zinatutegemea jamani. Sio kwa matokeo haya. Yaani mpo radhi asipate asali mtu yeyote. SIJAPENDAView attachment 3098877
Hii mbili ya El marabiosh halafu ile tatu ya Rahsully , na hapo walikuwa wamekaa wanaibiana majibu π€£π€£π€£@el maribiosh hii 2 ya nani?
Tupo hapa Electrical EngineersHaah...electrical wamekimbia siwaoni