Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣🤣🤣Engineer nilikua sina bando nyieee imekuaje jmn ni kweli hao ni umeme?? Kichwa changu kinaniuma jmn sa ntatokaje tokaje kwa staili iyo
Hali mbaya Engineer , Utumishi Wana hasira na Electrical Engineers ,tangia tulivyowatukana kwemye zile interviews za MDA kwa kuwaambia wao ni vilaza na hawajui hata kuongea English fluently
 
Naona umeamua kumpa mtu moyo kwenye hakuna.
Mkuu nimemjibu kitu ambacho nina uhakika nacho , may be tu umri uwe umeshamtupa lakin vigezo vingine anavyo
Screenshot_20240919-064334.jpg
 
Ivi ikitokea umetuma barua ya maombi Kisha kwenye kipengele Cha kusaini ukaweka pembeni na sio katika ya ukurasa, JE inaweza pelekea usiitwe kwenye usahili?
 
Back
Top Bottom