PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
Ivi ikitokea umetuma barua ya maombi Kisha kwenye kipengele Cha kusaini ukaweka pembeni na sio katika ya ukurasa, JE inaweza pelekea usiitwe kwenye usahili?
Unaitwa.. Kikubwa u sign na uandike zile address ya inapokwenda kihusahihi..