Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mtakuwa mnafanya maendeleo kweli?

Naona mnawaza kupangiwa vituo tu hizo kazi mnazofanya si mtakuwa mnazifanya kama geresha tu

Simpangii mtu ila ni bora ajira mkaziweka plan B, na kazi mnazofanya ziwe ndio plan A

Unachokiongea ni sahihi ila utekelezaji wake ni mgumu sana kwa mifumo yetu inatotuzunguka, ukimuona kijana anafikilia ajira sio tu kakulupuka ujue kuna changamoto anazipitia, na vijina wengi walishajaribu kujiajiri ila kuna sehemu wanakwama, ww pitia maeneo ya kariakoo angalia vijana wanavyopambana kujiajiri alafu angalia na support wanayoipata ili kufanikisha iyo ndoto yao.

Ila khasante kwa ushauri tutazid kuufanyia kazi pale nafasi itakapo patokana..
 
Received na database visikutoe kwenye reli mkuu ikawa hako kabiashara unakofanya ukakafanya kama legesha tu pambana biashara ikue fanya mambo yote uliyoplan bila kutolewa kwenye mchezo na utumishi

Ni hayo tu mkuu
 
Ndugu mimi nakuelewa mnoo, ila aya maisha kuna kipindi inafika kama unakata tamaa iv ya kujiajiri.. Unafungua biashara aina mda tra awa hapo watu wa manispaa hawa hapa, hapo bado aujalipa kodi ya ofs, alafu ikumbukwe biashara yenyewe ndo unaanza hata wateja awakuji na familia zetu tulizo toka mtu hauna backup yeyote.. Yaan inafikia mda unajifungia ndani peke yako unaliaaaa alafu unafuta machoz unatoka nje unatabasamu..

Unajua ukipata sehemu ya kujiajiriwa ata akiri inatulia katika kufanya mambo mengine. Hakuna mtu anaependa aajiriwe milele ila ukiwa umeajiriwa ni laisi kujiajiri.
 
Unachokiongea ni sahihi ila utekelezaji wake ni mgumu sana kwa mifumo yetu inatotuzunguka, ukimuona kijana anafikilia ajira sio tu kakulupuka ujue kuna changamoto anazipitia, na vijina wengi walishajaribu kujiajiri ila kuna sehemu wanakwama, ww pitia maeneo ya kariakoo angalia vijana wanavyopambana kujiajiri alafu angalia na support wanayoipata ili kufanikisha iyo ndoto yao.

Ila khasante kwa ushauri tutazid kuufanyia kazi pale nafasi itakapo patokana..
Pole mkuu pambana you are not alone there tupo rundo
 
Back
Top Bottom