pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
wewe ni mungu unawapamgia watu maisha yao? Sema tukupe cheo cha MUNGU.Wakuu mtakuwa mnafanya maendeleo kweli?
Naona mnawaza kupangiwa vituo tu hizo kazi mnazofanya si mtakuwa mnazifanya kama geresha tu
Simpangii mtu ila ni bora ajira mkaziweka plan B, na kazi mnazofanya ziwe ndio plan A