Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna mikeka mingi sana mbeleni, tusubiri hizi halmashauri zimalize interview...ukiangalia mikeka ya nyuma utaona halmashauri zilkuwa zinaita madereva na watendaji kwenye interview alaf pdf likitoka wanatoa na kada nyingine kutoka database
 
Hapa sijakuelewa .
 
Ila utumishi wamepwaya .

Ukiangalia mikeka ya mwezi wa saba ,sita,nane wanaita kazini kwenye database zaidi ya mwaka sikuizi wanaenda zaidi ya mwaka na nusu.

Naona shida iko kwao na si kwa wasailiwa
 
Psrs follow up ya pdf za kuita watu kazini ya mwezi wa sababu na nane haijaisha tu bado!, kuchelewa kuita watu kazini hupelekea watu kuto lipoti kazini ether kwa kuwa washapata kwingine ndani na nje ya nchi, au kufaliki au kutokujua tarifa ya kuitwa kazini kwa wakati hivyo pia kuleta changamoto kwa psrs pia kwa kufanya follow up kwa muda mrefu ili kujua nani alifanikiwa kulipoti kazini na nani hakulipoti ili wa-replace mtu mwingine kutoka database ya psrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…