Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe ni sehemu ya utumishi au mpiga ramli kama wengine?
Mimi nakwambia ukweli kwa sababu nimefanya saili zaidi ya tano utumishi hadi nilipopata kazi! Utaratibu ni ufaulu kwanza! Kwa hiyo usije ukafukiri kwakuwa ulichagua kigoma au sumbawanga basi ukapate 10au 20 ukadhani basi utapewa kipaumbele kwakuwa ulichagua kwenda chaka …hapana kwa utumishi ni kufaulu kwanza na marks lazima zianzie 50 na mwenye nyingi zaidi ndio mshindi! Na mshindi anapelekwa popote hayo ya kuchagua mikoa ni kuwaridhisha tuu!
Chamsingi wewe ni kukaza buti tuuu na kuhakikisha unafaulu kuliko mwenzio hawana cha kukuhurumia kisa umekwenda kigoma! Mkifeli kituo kizima wanafyeka tuu!
 
Upo sahihi mkuu, kama mainjinia wa umeme, walikuwa kama nane wote wamepigwa shoti, hakuna aliyetoboa. PSRS ni makatili aisee, wanaweza kuwapigisha kichurachura wote asipate hata mmoja
 
Yan PDF ina majina 36 tu, usahili walifanya tarehe 13 mwez wa 8 limetoka Leo 25 mwez wa 9, je hao afya waliopo ef 9 na kitu SI itakua NOVEMBER
 
Back
Top Bottom