Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 585
- 1,299
Matokeo ya Afya na ualimu ni mtaji wa kisiasa. Yatatoka kabla au baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.Yan PDF ina majina 36 tu, usahili walifanya tarehe 13 mwez wa 8 limetoka Leo 25 mwez wa 9, je hao afya waliopo ef 9 na kitu SI itakua NOVEMBER