Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera sana kaka

Hongera Sana mkuu, kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera sana mkuu. Ukawe mtumishi mwema kwa manufaa ya umma. One Love
 
Back
Top Bottom