captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapyaWakuu, kumbe majibu ya saili za chuo wanatangaza kwenye page za chuoni, nilkuwa sijui aisee...
Basi ndugu zangu msikate tamaa, mimi nimeaga ujobless naenda kufundisha chuo...