Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Ulifanya usaili Lin huo wa pili,
Hongera San
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera Sana mkuu
Huwaga sicoment lakin umenipa moyo
Ase umepambana hongera sana
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera sana mkongwe hakika nimerudi kwenye uzi na kukutana na taarifa njema.

#Hakuna kukata tamaa wadau wa huu uzi.
Hongera mwamba.
 
Ho
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera sana mkuu...
 
Mzee wa status..hongera sana
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Kaka Hongera sana sana.

Nakuombea Utumishi mwema sana MUNGU AKUTIE NGUVU katika utumishi wa umma.

Database ya lini?
 
si ndo hapo sasa yaan tunacheleweshana maisha tu wenzetu washafika kwenye renta [emoji1787] [emoji1787]
Injinia siku yako ipo na unakuja uzuri katibu ameanza kusaini mikeka .

Mimi nimefanya juzi hii ta afya ila kwenye Pdf ya leo database yetu wamekomba mafuriko Mimi sijajiona.

Ngoja niendee kusubiri.
JKCI.
MOI.
MNH.
KCMC.
Au hata halmshauri wanaweza wakanikumbuka.

BUGANDO imenikosa ya leo
 
Bugando imezoa leo
 
Mimi nina oral 2.

Oral ya kwanza nilifanya tar 17/8 hadi leo wameita kazini BUGANDO wamechukua leo na wanachukua sana .

Oral ya pili ni hizi za wiki iliyopita.

Kwa sasa natamani nipate kazi yoyote itakayokuja tu.
Kuna mdau aliwauliza mkeka lini huko Facebook wakajibu kabla ya mwez wa 10 kuisha wanatoa mkeka
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Hongera kaka asee shuhuda kama hizi tulikua tumezimiss sana ani🤤🤤naomba kesho watoe zaidi ya tatu, ila naamini nasi tupo njiani dadeq🤗
 
Mimi nina oral 2.

Oral ya kwanza nilifanya tar 17/8 hadi leo wameita kazini BUGANDO wamechukua leo na wanachukua sana .

Oral ya pili ni hizi za wiki iliyopita.

Kwa sasa natamani nipate kazi yoyote itakayokuja tu.
🤣🤣 Ujobless umeanza kukunyooosha kama sisi hapo😅😅Mpaka Tuthemeeee
 
Injinia siku yako ipo na unakuja uzuri katibu ameanza kusaini mikeka .

Mimi nimefanya juzi hii ta afya ila kwenye Pdf ya leo database yetu wamekomba mafuriko Mimi sijajiona.

Ngoja niendee kusubiri.
JKCI.
MOI.
MNH.
KCMC.
Au hata halmshauri wanaweza wakanikumbuka.

BUGANDO imenikosa ya leo
muhimbili nao wanaweza wakazoa muda wowote.ila halmashauri wakianza kuzoa hapo ni uhakika
 
Daah mimi nina oral mbili japo ya kwanza nakumbuka sikujibu vizuri japo kastatus hakajabadilika na ilikua MDAs & LGAs, na ya pili ni ya Litaasisi furani hivi linono, sasa nina mashaka na kale ka usaili ka kwanza kanaweza nichania mkeka wa Litaasisi lenye Marumaru za kidhungu dhungu,
NB. Toka nifanye oral ya MDAs. & LGAs ni toka mwezi wa pili tarehe 20 hadi leo status iko vile vile sasa sijui ndo database, japo nakumbuka nilijibu jibu mpaka nikatoka najidharau furani hivi😁😁YANGU NI HAYO KWA LEO, LABDA TUSUBILIE NA KESHO NITAKUJA NA LIPI, USISHANGAE LILE LITAASISI LENYE MARUMARU ZA KIDHUNGU LIKAITIKA HIYO KESHOOO🤔🤔🤣
 
Hapo ni LGA kabisa...Mpimbwe😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom