Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwaka una kimavi database mm ndo nilikuwa naitegemea kuliko hata hii ya juzi direct.

Pdf ya tar 25 nimeona wamechomoa bugando watu 20 kutoka pdf yangu mpaka nimeshangaa.

Uwa unajiuliza nimepata ngapi?

Ila shida hata wadau wangu kama 5 hakuna aliyeitwa japo wote tumepiga tena oral ya juzi
watu wanavyochomoka kwenye database mpaka unajiuliza au nilikua wa mwisho nini.🤣🤣🤣
 
Sina uhakika kama ni hao tu. Binafsi nina received za mwezi wa tano na mwezi wa sita hadi leo kimya. Fikiria unasubiri kuitwa tu interview zaidi ya miezi mitano. Huo ndio ucheleweshaji wa mchakato wa ajira. Yaani hadi unasahau.
Na hivi imekuja hii ishu ya walimu na afya hizi received za may na june tutaitwa mwakani.
 
Na hivi imekuja hii ishu ya walimu na afya hizi received za may na june tutaitwa mwakani.
Zege halilali, tutaitwa tena kwa mkupuo, yaani taasisi zaidi ya tano mnaweza kuitwa kwa pamoja kufanya usaili. Sasa hivi wanamalizana na Halmashauri kisha walimu, baada ya hapo ni bandika bandua. Mwezi wa 11 hauishi
 
Hhaaa.
Unaongea kama afisa kipenyo wa psrs hizo za halmashauri kila siku wanaita.
 
Zege halilali, tutaitwa tena kwa mkupuo, yaani taasisi zaidi ya tano mnaweza kuitwa kwa pamoja kufanya usaili. Sasa hivi wanamalizana na Halmashauri kisha walimu, baada ya hapo ni bandika bandua. Mwezi wa 11 hauishi
Wamalizane tu na watu wao tupige hizo interview tuwaze mambo mengine.
 
Mimi ndo uwa najiulizaga ila nikionaga nina wadau wengi basi najiona sikupotea.

Ila kwa stage ya sasa kupata kazi kama muujiza kuliko uhalisia wenyewe.
Waombaji wa ajira wamekuwa wengi. Kila mwaka wahitimu wanaingia mtaani
 
Hilo tayari walishaeleza kuwa mwezi wa 10 watatoa, maana kelele zimekuwa ni nyingi. Swali ni Je watatoa kabla au baada ya usaili wa walimu?
utumishi wanaweza kukuambia matokeo kesho subiria sasa hio kesho
 
Back
Top Bottom