Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

BOT,TRA,TANESCO nadhani walikuwa sahihi kujitoa utumishi.

Kosa lingine kubwa Tamisemi kupeleka ajira PSRS.

Kwa hali ya sasa bora vimemo.

Mchakato wa ajira uliotumia muda mrefu mwaka huu ni TANAPA na BUNGE pekee.

Wengine wanagonga miezi 6 hadi mwaka.

Mimi naona bora vimemo tu
Tanapa mkeka huu kuna baadhi ya Idara hawajawaita zaidi kuwafanyisha Oral...
Tusiache kusaili zaidi...
Utumishi kauli mbiu yao mpaka kufika december idadi ya ajira iwe kubwa naona inafifia japo tumebakiza miezi michache sanaa....
 
Kama miezi 10 wameshindwa miezi 2 ndo wanaweza hao wahuni.

Tanapa hata kama hamzioni kada nyingine ilo ni tatizo la mwajiri kibali anacho budget ya kuwalipa hana.
 
Psrs ni DHAIFU.

niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.

Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.

Huku database wameiacha.

Kuita watu kazini wameacha.

Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
 
.
Screenshot_20241008-202758~2.jpg
 
Psrs ni DHAIFU.

niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.

Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.

Huku database wameiacha.

Kuita watu kazini wameacha.

Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.
 
Noma sana afu hawa wamefanya juzi tu
 
Psrs ni DHAIFU.

niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.

Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.

Huku database wameiacha.

Kuita watu kazini wameacha.

Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
wajanja si ndiomaana wamezima cha juu kabisa ili tuwe attention.hapo kifuatacho ni bakora za pdf za watendaji🤣 🤣
 
Mbaga hasikusikie.

Wewe unafanyishaje walimu laki 2 kupata elfu 10 huu ni upumbavu wa karne.

Wamelemea.

Wametoboka wametoboka tena.

Wamepwaya wamepwaya Tena
Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.
Nithibitishieni hapo wanapozingua psrs kwenye upande wa afya na ualimu.
 
Walimu kibali mwezi wa nne.

Watu wameomba wa sita.

Mpaka leo hakuna usaili.
Sasa kama bado wapo kwenye process zao, ww unatakaje?
Guys, mnalalamika Kwenye vitu vya kipuuzi mno aisee
N mara ngapi mnalalamika Then what next?
Kwan hy idadi cjui laki n mara ngapi wanadeal nao, kwahy hizi za ualimu na afya ndio imekuwa story? Ndo mana waalimu mnadharauliwa mana akili hamna.
 
Kwahiyo wewe umefundishwa na watu wasio na akili? Heshimu waliokuongoza kufika ulipo sasa. Akikosea mwalimu au polisi au mwanajeshi au mwanasheria au mwasibu mmoja usihukumu wote kwa kosa au uzembe wa mtu mmoja kisa anataaluma flan basi ionekane watu wete wenye taaluma hiyo nao ni wakosaji wa hilo kosa.
 
Back
Top Bottom