Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mara mia waziachie taasisi mbona bunge wameenda vizuri sana chap chap au ndio kazi kuu ya serikali ni urasimu
Changamoto ya Utumishi ni mafungu ya pesa yanatoka kwa kuchelewa katika kusimamia sail......
Ninavyosikia za chinichini wote waliokuwa wanafanya kazi kwa mkataba kwenye Taasisi wamepewa ajira za kudumu.....
Huku Database wameikalia tu Utumishi sijui lengo lao nini
 
Kwa anayejua kama kuna ukomo wa kusubiri kuitwa kwenye usaili alete majibu. Maana hata mimba ukomo wake ni miezi tisa. Nina received ina miezi mitano, vipi nisubiri mingine minne ama nifanya abortion
Huwez kufanya abortion, hapo n kusubiri tuu
 
Kuna sehemu kwenye huu uzi kuna jamaa alielezeaga vizuri sana huu mchakato wa ajira unapoanza kwa tahasis usika kufika psrs nao kuutangaza kuita watu usahili matokeo kutoka na kupewa barua na mpka kuanza kazi, kwa namna alivyoelezeaga niligundua kuna vitu tunaweza tukawalaumu psrs lakini tatizo likawa sio lao, mfano kila tahasisi uwa kuna mda mda wana uharaka sana alafu kuna mda uharaka unakua sio sana na ata hvyo katika kuitwa kazini je bugdet usika ya kumuhandle muajiliwa mpya tayari ipo? Ivyo vyote vinachangia sana.

Uyo jamaa alichanganua vizuri sana sana na binafsi nilimuelewa mnoo.
 
Binafsi bado naamini psrs ni sehemu pekee ambayo tusio na connection ya watu uko kwenye matahasis tunaweza tukapambana kupitia psrs na kupata kazi.

Ningeomba tahasisi iongezewe nguvu na ajira zoote za serikali(ukitoa zile za ulinzi na usalama) zipitie uko uko psrs.

Tahasisi kufutwa iyo itakua ni makosa makubwa sana, itatengeneza ali mbaya sana kwa sisi tusio na connection.
 
Kuna sehemu kwenye huu uzi kuna jamaa alielezeaga vizuri sana huu mchakato wa ajira unapoanza kwa tahasis usika kufika psrs nao kuutangaza kuita watu usahili matokeo kutoka na kupewa barua na mpka kuanza kazi, kwa namna alivyoelezeaga niligundua kuna vitu tunaweza tukawalaumu psrs lakini tatizo likawa sio lao, mfano kila tahasisi uwa kuna mda mda wana uharaka sana alafu kuna mda uharaka unakua sio sana na ata hvyo katika kuitwa kazini je bugdet usika ya kumuhandle muajiliwa mpya tayari ipo? Ivyo vyote vinachangia sana.

Uyo jamaa alichanganua vizuri sana sana na binafsi nilimuelewa mnoo
Sasa taasisi inapelekaje uhitaji na kuachia psrs ifanye mchakati wote hadi mwisho alafu iseme hainauhitaji wa haraka au hawana budget ya mtumishi mpya huo ni utahila na ujinga tu, why isisubili uhitaji na uharaka ukifika na budge itengwe kwanza ndo ipekele requarement(tangazo) utumishi
 
Sasa taasisi inapelekaje uhitaji na kuachia psrs ifanye mchakati wote hadi mwisho alafu iseme hainauhitaji wa haraka au hawana budget ya mtumishi mpya huo ni utahira na ujinga tu, why isisubili uhitaji na uharakq ukifika na budge ndo ipekele requarement(tangazo) utumishi
Wanashindwa kuwa wawazi tu kusema...
Ofisi ya Rais(Serikali Kuu)budget hairuhusu kuajiri full stop ....
Kuliko wanatupiana mipira tu....
 
Sasa taasisi inapelekaje uhitaji na kuachia psrs ifanye mchakati wote hadi mwisho alafu iseme hainauhitaji wa haraka au hawana budget ya mtumishi mpya huo ni utahila na ujinga tu, why isisubili uhitaji na uharaka ukifika na budge itengwe kwanza ndo ipekele requarement(tangazo) utumishi
Na hii ndio point kubwa, kama taasisi haina haraka kwanini wasisubiri hadi watakapo kuwa na haraka?? hii inaleta wasiwasi kazi zinatolewa watu wanaomba hadi wanasahau halafu mwisho wa siku wanachomekwa watu wao. Hapo hamna Transparent
 
Kuna sehemu kwenye huu uzi kuna jamaa alielezeaga vizuri sana huu mchakato wa ajira unapoanza kwa tahasis usika kufika psrs nao kuutangaza kuita watu usahili matokeo kutoka na kupewa barua na mpka kuanza kazi, kwa namna alivyoelezeaga niligundua kuna vitu tunaweza tukawalaumu psrs lakini tatizo likawa sio lao, mfano kila tahasisi uwa kuna mda mda wana uharaka sana alafu kuna mda uharaka unakua sio sana na ata hvyo katika kuitwa kazini je bugdet usika ya kumuhandle muajiliwa mpya tayari ipo? Ivyo vyote vinachangia sana.

Uyo jamaa alichanganua vizuri sana sana na binafsi nilimuelewa mnoo.
Kwa
Wanashindwa kuwa wawazi tu kusema...
Ofisi ya Rais(Serikali Kuu)budget hairuhusu kuajiri full stop ....
Kuliko wanatupiana mipira tu....
Haya mambo yamekaa kisiasa sana
 
Sasa kumbe kibali ninaweza kikatoka na mchakato ukaendelea ila bado suala la bajeti likakwamisha
 
Kwa

Haya mambo yamekaa kisiasa sana

Ni kweli, ila kwa namna ninavyowaona utumishi wanajitahid sana sana na katika ilo niwape tu ongera zao ila kuna namna makosa yanatokea kwengine lawama zinawaangukia wao. Kama ule usime unaosema ng'ombe anaechelewesha msafara ni wa mbele ila viboko anachapwa ng'ombe wa nyuma, hilo jambo ndo naliona psrs.

Mpka kufikia hatua hii ya kutengeneza mfumo wa watu kuweza kufanya usahili online inaonyesha kwa namna gan kwa upande wao wanajitahdi.
 
Swali la Uzi unalikumbuka.

Watu hawaongelei saili watu wanahoji.

Kuchelewa kuita watu kazini.
 
Sasa taasisi inapelekaje uhitaji na kuachia psrs ifanye mchakati wote hadi mwisho alafu iseme hainauhitaji wa haraka au hawana budget ya mtumishi mpya huo ni utahila na ujinga tu, why isisubili uhitaji na uharaka ukifika na budge itengwe kwanza ndo ipekele requarement(tangazo) utumishi

Sasa hilo swala inabidi tahasisi binafsi ndo ifanye, isipeleke mpka ijione ina weza ku handle watu watakao pelekewa. Sasa mambo kama hayo ndo uwa yanafanya tuione psrs kua wanazingua kumbe kosa sio lao
 
Back
Top Bottom