Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Swali la Uzi unalikumbuka.

Watu hawaongelei saili watu wanahoji.

Kuchelewa kuita watu kazini.

Huu uzi kuna mda unaongelea mambo nje ya agenda kuu ya uzi mfano mara kadhaa watu tumekua tuki discus kuhusu mishahara ya tahasis tofauti tofauti kwahyo kuna mda tuna peana majibu kulingana na swali usika sio kutokana na agenda kuu ya uzi.

Alafu ikumbukwe mtu kuitwa kazini inaanzia wapi? Process na mtu kuitw kazini inaanzia pale tangazo linapotoka na sis kutuma maombi..

Ndio maana umu kuna mtu anasema ana receive ya tokea mwezi wa 5 na ajaitwa sasa uyo asiongee kwaku bado ajaitwa kwa mahojiano?? Yaan aanze kulalamika baada ya kufika oral nakusubilia barua??
 
Psrs ndo sehemu pekee ambayo kunakua na uwazi kwa asilimia kubwa sana katika mchakato wake wa ajira.

Kuna siku BOT walitoa post ya kada yangu niliomba ili sizani hata kama ile barua yangu ilisomwa.

Ila uku psrs ww ukifuata maelekezo yao tu una 99.9%ya kuitwa mengine ukayapambanie mwenyewe.

Mimi kuna watu wengi sana wamepata ajira kupitia psrsbila kufaamiana na mtu yeyotee. Ila vip uko kwenye masekta mengine wanao ajili wenyewe??

Mimi bado naona kuna namna psrs wanakutana na lawama zetu sisi ma jobless ila wao sio wa kulaumiwa.
 
Huu uzi kuna mda unaongelea mambo nje ya agenda kuu ya uzi mfano mara kadhaa watu tumekua tuki discus kuhusu mishahara ya tahasis tofauti tofauti kwahyo kuna mda tuna peana majibu kulingana na swali usika sio kutokana na agenda kuu ya uzi.

Alafu ikumbukwe mtu kuitwa kazini inaanzia wapi? Process na mtu kuitw kazini inaanzia pale tangazo linapotoka na sis kutuma maombi..

Ndio maana umu kuna mtu anasema ana receive ya tokea mwezi wa 5 na ajaitwa sasa uyo asiongee kwaku bado ajaitwa kwa mahojiano?? Yaan aanze kulalamika baada ya kufika oral nakusubilia barua??
Waachie PDF la database za Taasisi zilizomezwa mwaka jana.....
Point 3 wanazichukua kwa vijana wakiwa ugenini mapema mno
 
Waachie PDF la database za Taasisi zilizomezwa mwaka jana.....
Point 3 wanazichukua kwa vijana wakiwa ugenini mapema mno

😂😂😂
Tusubilini mpka taasis ziwaambie waiteni vijana wetu sasahv tunauitaji nao, kwan wao si ku print na ku sign tu.. Tahasi bado zinajipana namna ya kukuhandle mkuu,

Wengine uko mtalipiwa nyumba, usafiri bado na maposh kibao. Lazima tahasis ikuandalie mzingira mkuu.
 
K
Hilo tayari walishaeleza kuwa mwezi wa 10 watatoa, maana kelele zimekuwa ni nyingi. Swali ni Je watatoa kabla au baada ya usaili wa walimu?
abla
Hilo tayari walishaeleza kuwa mwezi wa 10 watatoa, maana kelele zimekuwa ni nyingi. Swali ni Je watatoa kabla au baada ya usaili wa walimu?
Mkeka utatoka kabla ya usaili wa walimu
Vijana naombeni muwe watulivu mtapata ajira
 
Hahahaha 😂 kunywa maji kwanza
Ulifikir hatuangalii GPA ndiyo maana ulikuja na GPA yako ya 2.0 ukafikir tutakuchukua pole sana
Omba sehemu nyingine wanakochukua bila kuangalia GPA
 
Una kipi cha kutusaidia sisi jobless ww wa enzi za JK.
[/QUOTE]
Ningekupa msaada tena mkubwa tatizo umekuja kwa matusi nipo kwenye moja ya taasisi uliyofanya interview
Wewe endelea kupambana na hali yako
Huku hatufahamian lkn waungwana tunawasaidia kwa namna moja au nyingine
 
Msaada wangu Mungu.

Save sms

Before DECEMBER nitakuwa Kazini na nitakufuata inbox kwako.

Sihitaji msaada wako kawape wengine.
 
Ningekupa msaada tena mkubwa tatizo umekuja kwa matusi nipo kwenye moja ya taasisi uliyofanya interview
Wewe endelea kupambana na hali yako
Huku hatufahamian lkn waungwana tunawasaidia kwa namna moja au nyingine
Mkuu Umejuaje kama alifanya interview uko?😂watu mpo uku mnachora tu watu wakilalamika.
 
Unakosea sana, haikua na haja ya kutumia lugha hii.

Pinacoladee alipata lift kupitia jukwaa hili, nakukumbusha, kazi zote ziko mikononi mwa watu, ukikutana nao hao, hata kama huna account huko utumishi, unalamba asali mapema tu.
Sasa kwa taarifa yako niliongea na phina ni mshikaji wangu alinichana wala yule jamaa hakumsaidia na hakuchart nae kwa lolote.

Kama wewe unataka msaada mfuate tu PM .
 
Back
Top Bottom