Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Week ya kuitwa interview ndo tunakumbukaga kanisani na mfungo wa siku tatu na haadi nyinyi kua mungu ukinivusha hapa nitakufanyia iv.. Nitafanya iv..πŸ˜‚πŸ˜‚

Mungu angekua na kisasi kama binadamu hakuna ambae angetoboa aisee.
Kabsa mkuu na mda mwingine tukikosa hatutakiwi kutoa lawama, maana tunajua tunapofeli🀨
 
Ukipata muda Kwa dini yako omba Mungu mapenzi yake yatimizwe.

Kulalamika sana haisadiii ni kama wana wa israel waliendelea kulalamika hata walipovuka jagwani na kuona wametolewa katika nchi yao waliyoizoea kumbe kusudi la Mungu ni sahihi.

Niseme Tusiache wala kuchoka katika kumuomba Mungu,,,
Tusilie ,tusinungunike,,tusigubwike na upweke na tukasahau kusudi lake.

Leo hii Hakuna tena message za kutiana moyo kama 2022.
Hakuna jumbe za kufariji na kutiana moyo kama zilipokuwa zamani.
Leo hakuna Faraja tena katika DATABASE Yale tuliyoyatarajia hayajawa vile tulivyotaka.
Ndoto zinaendelea kufa.
Ndoto zinaendelea kupotea.

Tusikate TAMAAA.
Tusichoke.
Tusilie.
Tusiumie.
Funga,sali mwambie Mungu nikumbuke na mimi.

Nimechoka kuwapongeza wenzangu.
Nimechoka kufungua pdf na kusoma majina ya wengine.
Kivyovyote mwaka huu naomba uwe wa kwangu.

Thanks for 2024.
 
Kuna muda unakuwa mpweke.
Unakaa peke yako na kulia.

Wale ulioanza mapambano nao wapo makazini wanaendelea kupitia changamoto za kazini ila si za utumishi.

Mzazi ana hitaji msaada mkubwa kutoka kwako masikini ya Mungu hauna hata 10k ya kumsaidia ukiwaza uzee nao unagonga hodi unawaza kama ningekuwa kwa utumishi basi ningewakatia hata bima.

Kuna mdada umemzalisha masikini ya Mungu,,
Hata private sector hauna pa kujishikiza.
Kitaa kinahitaji uzoefu na connection
Ukiwaza hauna ndugu utumishi hauna mjomba wizarani hauna shangazi bungeni.

Unakuja kuwaza kulia haitasaidia.

Vijana eeh tujitie nguvu haya tunayopitia yatakuja kuwa historia baadae.

Mambo mengine hata kama ni juhudi na nguvu kwanini hayajatokea kwako.

Mimi ni mtu ninayeamini sana katika Mungu siku izi na muda wote nimeendelea kumkimbusha na kumwambia Mungu mapenzi yako yatimizwe tu kwa wakati wako.

Ahsanteni.

Niwatakie usiku mwema.
 
Mafanikio yamejificha kwenye muda, ni hivi uamini usiamini ipo siku utapokea habari njema sana na the rest will be the story.

Ni kuzidi kumtumaini Mungu na ukiona unasababu ya kukata tamaa jipe moyo wa kupambana zaidi maana haupo mbali kufanikiwa.
 
Mafanikio yamejificha kwenye muda, ni hivi uamini usiamini ipo siku utapokea habari njema sana na the rest will be the story.

Ni kuzidi kumtumaini Mungu na ukiona unasababu ya kukata tamaa jipe moyo wa kupambana zIdi maana haupo mbali kufanikiwa.
Mmh naomba kazi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…