Kasome tena vzr hizo sifa mzeeSifa za IAE ni GPA ya 3.8 hakuna tofauti na OUT. Pia wapo waliofanya oral ya Adem na wana GPA KUBWA na wanasifa za KUFUNDISHA CHUO KIKUU. MTU KUFANYA USAILI WA VYUO VYA KQTI HAINA MAANA KWAMBA NDIO HANA SIFA ZA KUWA T.O japo wengine kweli hawana maana wana GPA ya 3.5. Mfano mimi Nilifanya IAE nikakandwa awamu ya kwanza, , DUCE nilifika mpaka oral ila sikubahatika kuitwa kazini now nasubiri placements ya ADEM.
Duuh aiseh sawa sawaIyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjuaWewe ni mshindi, endelea kumshukuru Mungu katika hilo nae atakutendea.
Hongera sana[emoji846]
Well said... Ila katika mapambano yako Mungu awe kipaumbele chako nae atabarikia juhudi zako.Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
😂😂😂😂Yani hizo point tano inakuaga kama vita aseeeh wewe upo kama Mimi yani bora nidanganye ilimradi nijibu hata kidgoImagine function za CAG Constitution imezitaja tatu, wao wanataka 5, sijui hili swala la points tano walilitoa wapi utumishi[emoji3], sijui hizo mbili nlizitoa wapi mimi za kuongezea[emoji3]
alishawahi kuingia oral??Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
Steps zinakuaga mbaya sana au methods hazinaga kutunga 😂😂😂😂😂Yaaani sijui kawafundisha Nani wanafanya kukuhesabia mpk zitimie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikutana na steps ndo balaa
Hizo mara 8 ni oral zote?Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
Yah,jamaa kaingia oral 3alishawahi kuingia oral??
duuuh kweli ni balaa hizo tano zingine zimegomaYah,jamaa kaingia oral 3
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh Mungu baba, tafuteni kazi nyie, msiwaze subaru saa hizi. Jiwazie wewe kwanza
Kaka wewe mbinguni kiti cha mbele kabisaIla pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
Utapita mkuu tumuombe Mungu aendelee kutia wepesi.Asante sn kaka.Ni kuufunga moyo na kusema life is trial and error.
Nimepambana, ngoja nasubiri mwendo kuumaliza.
Sema nimekutana na mdau wa humu tumepiga story sn na msela.
Hahahaa, Prok atakuwa kamaliza jana, sijamsikia aseme kuhusu HESLBHivi prok alikuwepo na leo kwn? Ila nimekaona kamdada kamevaa still kana English figure hivi na kamevaa wiving, yani kana wajihi wa prok kabisaaa
Pole na hongera kwa hatua hiyo.Habari ya mchana humu.
Nashukuru nimetoka salama kwenye usaili wa mahojiano.
Ahsanteni sana na madini na uzoefu mliotoa humu ili tuishi nao.
[emoji1431][emoji1431][emoji120]
Huko kutikisa kichwa kuna maana 2.Ila kuna mshikaji like alikuwa hanielewi nachojibu kabisa,ila kuna wamama walitikisa hadi kichwa aisee, sijui kwavile maswali niliyaelewa yale!?
Sawa mkuu, tuendelee kupambanaNa ikawe hivo mkuu.Msimamo wangu nitaendelea kuomba kwa kadri ninavyokuwa na qualifications,na endapo sitakuwa na hela ya kwenda sitaenda maana it is just trying.
Hii ndio miongozo tunayoitaka sasa.Iyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
Fungu la kumiSiku nimepata pesa yangu ya kwanza duh hata sijui nitaifanyia nn[emoji1787]
😂😂😂😂Alipiga jana katoka kichwa kimepata moto balaa yeye ana point tatu za CAG afu wanataka point 5Hahahaa, Prok atakuwa kamaliza jana, sijamsikia aseme kuhusu HESLB