Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Kasome tena vzr hizo sifa mzeeSifa za IAE ni GPA ya 3.8 hakuna tofauti na OUT. Pia wapo waliofanya oral ya Adem na wana GPA KUBWA na wanasifa za KUFUNDISHA CHUO KIKUU. MTU KUFANYA USAILI WA VYUO VYA KQTI HAINA MAANA KWAMBA NDIO HANA SIFA ZA KUWA T.O japo wengine kweli hawana maana wana GPA ya 3.5. Mfano mimi Nilifanya IAE nikakandwa awamu ya kwanza, , DUCE nilifika mpaka oral ila sikubahatika kuitwa kazini now nasubiri placements ya ADEM.