Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sifa za IAE ni GPA ya 3.8 hakuna tofauti na OUT. Pia wapo waliofanya oral ya Adem na wana GPA KUBWA na wanasifa za KUFUNDISHA CHUO KIKUU. MTU KUFANYA USAILI WA VYUO VYA KQTI HAINA MAANA KWAMBA NDIO HANA SIFA ZA KUWA T.O japo wengine kweli hawana maana wana GPA ya 3.5. Mfano mimi Nilifanya IAE nikakandwa awamu ya kwanza, , DUCE nilifika mpaka oral ila sikubahatika kuitwa kazini now nasubiri placements ya ADEM.
Kasome tena vzr hizo sifa mzee
 
Wewe ni mshindi, endelea kumshukuru Mungu katika hilo nae atakutendea.

Hongera sana[emoji846]
Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
 
Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
Well said... Ila katika mapambano yako Mungu awe kipaumbele chako nae atabarikia juhudi zako.
 
Imagine function za CAG Constitution imezitaja tatu, wao wanataka 5, sijui hili swala la points tano walilitoa wapi utumishi[emoji3], sijui hizo mbili nlizitoa wapi mimi za kuongezea[emoji3]
😂😂😂😂Yani hizo point tano inakuaga kama vita aseeeh wewe upo kama Mimi yani bora nidanganye ilimradi nijibu hata kidgo
 
Eeeh Mungu baba, tafuteni kazi nyie, msiwaze subaru saa hizi. Jiwazie wewe kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante sn kaka.Ni kuufunga moyo na kusema life is trial and error.

Nimepambana, ngoja nasubiri mwendo kuumaliza.


Sema nimekutana na mdau wa humu tumepiga story sn na msela.
Utapita mkuu tumuombe Mungu aendelee kutia wepesi.

Jambo jema sana kukutana na mdau wa humu. Mimi jana nilikodoa macho nimuone hata Prok, nikagonga mwamba
 
Habari ya mchana humu.

Nashukuru nimetoka salama kwenye usaili wa mahojiano.

Ahsanteni sana na madini na uzoefu mliotoa humu ili tuishi nao.

[emoji1431][emoji1431][emoji120]
Pole na hongera kwa hatua hiyo.

Sasa tuelekeze maombi, sala, uvumilivu na subira kwenye placements
 
Ila kuna mshikaji like alikuwa hanielewi nachojibu kabisa,ila kuna wamama walitikisa hadi kichwa aisee, sijui kwavile maswali niliyaelewa yale!?
Huko kutikisa kichwa kuna maana 2.

Anaweza akawa anasikitika jinsi anavyokukanda.

Au

Anaweza akawa anaitikia mdundo jinsi unavyomkanda.
 
Na ikawe hivo mkuu.Msimamo wangu nitaendelea kuomba kwa kadri ninavyokuwa na qualifications,na endapo sitakuwa na hela ya kwenda sitaenda maana it is just trying.
Sawa mkuu, tuendelee kupambana
 
Iyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
Hii ndio miongozo tunayoitaka sasa.

Hapa tayari tumehjifunza, kutikiswa kichwa ni kututoa kwenye reli
 
Back
Top Bottom