Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
 
Acha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikuta
 
Search jina pale juu, anza na herufi kubwa majina yote ikigoma andika herufi ndogo, na tulia jina litatokea
 
Acha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikuta
Sasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
 
Jina litakuwepo mkuu, shida ni ukisearch linaweza kutokea au kutotokea cheza tu na searching style..unaweza toka kabisa afu unaingia kusearch tena
 
Andika jina lake hata kwa ufup tu, Mfano Mbaga unaweza andika Mbag then subur isearch inaweza chukia kama sekund 30 baada ya hapo utaona results, watu wenye jina hilo wanaweza kuwa weng so tumia ile navigation sign kunext mapak utapolikuta jina lako
 
Naona nimeandika jina la ukoo ikakubali 🙏
 
Sasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
Andika jina moja la ukoo, search! Ikitokea kweli jina halipo hakuna tatizo wapigie PSRS watarekebisha! Hata wasiporekebisha maadamu una namba ya usaili jiandae tu, wasili kwenye usaili na mambo yatakuwa mazuri!
 
Nshamalizana na h ishu.
 
Naomba kujua wapi nitaweza pata hizo pdf za afya hao walioitwa hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…