Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikutaWakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Search jina pale juu, anza na herufi kubwa majina yote ikigoma andika herufi ndogo, na tulia jina litatokeaWakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Sasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not foundAcha wenge search jina kwa kutulia kuna muda iukisearch inaload kwa mda mref kidg, kuna jamaa nilijaribu kusearch jina lake nikadhan amekosa coz sikuliona jina lake but alivojaribu kuangalia yeye mwenyew akalikuta
Kwa si wamefuata Alfabet?Sasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
Jina litakuwepo mkuu, shida ni ukisearch linaweza kutokea au kutotokea cheza tu na searching style..unaweza toka kabisa afu unaingia kusearch tenaSasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
Hapana wanaekaga roundomlyKwa si wamefuata Alfabet?
Andika jina lake hata kwa ufup tu, Mfano Mbaga unaweza andika Mbag then subur isearch inaweza chukia kama sekund 30 baada ya hapo utaona results, watu wenye jina hilo wanaweza kuwa weng so tumia ile navigation sign kunext mapak utapolikuta jina lakoSasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
Jina litakuwepo mkuu, shida ni ukisearch linaweza kutokea au kutotokea cheza tu na searching style..unaweza toka kabisa afu unaingia kusearch tena
Naona nimeandika jina la ukoo ikakubali 🙏Andika jina lake hata kwa ufup tu, Mfano Mbaga unaweza andika Mbag then subur isearch inaweza chukia kama sekund 30 baada ya hapo utaona results, watu wenye jina hilo wanaweza kuwa weng so tumia ile navigation sign kunext mapak utapolikuta jina lako
Searching style😂😂Naona nimeandika jina la ukoo ikakubali 🙏
Bila shaka wewe ni mwalimu sijui huwa shule mnafuata nini?Wakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Wabongo bhana, h nshaisemea humu tangu muda mrefu kuwa kuna mtu nilimfanyia application.Bila shaka wewe ni mwalimu sijui huwa shule mnafuata nini?
Andika jina moja la ukoo, search! Ikitokea kweli jina halipo hakuna tatizo wapigie PSRS watarekebisha! Hata wasiporekebisha maadamu una namba ya usaili jiandae tu, wasili kwenye usaili na mambo yatakuwa mazuri!Sasa maana ake n niangalie jina moja moja kati ya majina laki? Mana nikisearch inaload na kuandika not found
Nshamalizana na h ishu.Andika jina moja la ukoo, search! Ikitokea kweli jina halipo hakuna tatizo wapigie PSRS watarekebisha! Hata wasiporekebisha maadamu una namba ya usaili jiandae tu, wasili kwenye usaili na mambo yatakuwa mazuri!
Na imagine tu, hili swali wangeuliza wengine...jibu lako sijui tu lingekuajeWakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Mambo yangekuwa 🔥🔥Na imagine tu, hili swali wangeuliza wengine...jibu lako sijui tu lingekuaje
Siku zote ukiwa unasearch kitu kwenye pdf /kitabu jaribu kutumia vitu ambavyo ni unique itakurahisishia.Naona nimeandika jina la ukoo ikakubali [emoji120]
Engineer kumbe kuna vitu vya kawaida sana hata mtoto wa std two anajua ila na wewe hauvijui nikajua ni walimu peke yaoWabongo bhana, h nshaisemea humu tangu muda mrefu kuwa kuna mtu nilimfanyia application.
Anyway, hunijui sikujui.
Ingia website ya PSRSNaomba kujua wapi nitaweza pata hizo pdf za afya hao walioitwa hivi karibuni