Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaEngineer kumbe kuna vitu vya kawaida sana hata mtoto wa std two anajua ila na wewe hauvijui nikajua ni walimu peke yao
🤝Siku zote ukiwa unasearch kitu kwenye pdf /kitabu jaribu kutumia vitu ambavyo ni unique itakurahisishia.
Kama hapo ulivyobuni jina la ukoo, haya ni majina ambayo ni machache, hivyo utapata majibu haraka
Wakuu, kwenye hizi usaili za waalimu mbona kwenye akaunti naona namba ya usaili pamoja na ratiba ya usaili ila kwenye pdf sioni jina?
Ili Tangazo liko wap ?Walimu usaili wamesitishiwa
Ili Tangazo liko wap ?
Hizi za Walimu na Afya kuna watu watasifiwa ndio maana zinapelekwa fast fast.Ningeshangaa yani sisi tumeomba kazi TCRA toka June mpaka leo hatujaitwa, eti walimu waitwe wakafanye usaili wakati wame apply juzi tu.
Wanataka watoe pdf la afya lote kwanza na uchaguzi wa serikali za mitaa uisheHizi za Walimu na Afya kuna watu watasifiwa ndio maana zinapelekwa fast fast.
Pia halaiki nayo itafurahi..
Win win situation..
Mbona afya wameitwa na wameapply juz juz, na leo nimeon NIC wameitwa piaNingeshangaa yani sisi tumeomba kazi TCRA toka June mpaka leo hatujaitwa, eti walimu waitwe wakafanye usaili wakati wame apply juzi tu.
Kumbe hizi pdf zinatoka kimkakati wa kisiasa. Aibu tupu.Hizi za Walimu na Afya kuna watu watasifiwa ndio maana zinapelekwa fast fast.
Pia halaiki nayo itafurahi..
Win win situation..
Afya yenyewe wametoa wachache tuMbona afya wameitwa na wameapply juz juz, na leo nimeon NIC wameitwa pia
😂😂😂😂😂Kumbe hizi pdf zinatoka kimkakati wa kisiasa. Aibu tupu.
Walimu usaili wamesitishiwa
😅😅Wameambiwa wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kula kwanza alafu ndo watawaita na asie enda kajitoa mwenyewe kwenye mashindano.
😅😅😅
Sawa mamaaUsaili umefutwa pole sana, endelea na shughuli zingine.
Hakuna wa kumcheka mwenzake