Ajira wazotoa mfano.
NO nursing walihitaji 300 wamechukua 400.
Pharmacy Tech walihitaji 124 wamechukua 250+
Mwajiri ni Wizara ya afya sasa Hatuna uhakika ila unaonekana kuna kitu sisi wasaka ajira tusubiri maana Idadi walihitaji wamepitiliza si shida kwa hilo ila Kwa tamisemi kuzidi nao Watu wengi tuna wasiwasi na hilo.
Japo kada nyingi bado hawajatoa mikeka.
Mimi nichohisi utaripotu kwa wizara ya afya wao wata distribute kwenda sehemu zingine maana IdadI kubwa sana kwa wizara pekee wakati Tamisemi ndio unakuwa na uhitaji mkubwa.
Kada kama.
MD.CO,Ano,En,macho,physiotherapy Daktari bingwa bado