πππππOya haijakuandikia not selected??Nasikia harufu ya placement
Da ah, kijana wa hovyoo mnoUamuzi mzuri, maana sisi majobless hatuna hata pesa za kuhonga, tukiona picha kama hizo ndio mawazo ya kuchukua Sheria mkononi yanakujaga[emoji23][emoji23]
Majobless tunapitia meengii
Hahaaa kaka me mbona kijana smartπ π πHahhhhhh kijana wahovyo amekujaπππππππ
ππππFanya umbless jobless mwenzio aseehDa ah, kijana wa hovyoo mno
Yaani shortlisted imeniganda mpaka naogopaπππππOya haijakuandikia not selected??
ππππKwenye app ndo nataka kwenye web inaandika shortlisted kwenye app ipoje?Yaani shortlisted imeniganda mpaka naogopa
Mimi kijana wa kazi mbonaDa ah, kijana wa hovyoo mno
Hahhhhh smart afu unawaza uteleziπππππHahaaa kaka me mbona kijana smartπ π π
Tupo pamoja, tuwasiliane. Hongera na pole.nikifika nitakupigiaKaka wewe mbinguni kiti cha mbele kabisa
Selected for nullππππKwenye app ndo nataka kwenye web inaandika shortlisted kwenye app ipoje?
Halafu kidogo nimwite mdada wa watu kwamba "wee prok"Helsb kada etu haikuwepo
Utelezi unapatikanaje mkononi??Hahhhhh smart afu unawaza uteleziπππππ
ππππUhakika mzee tukutane kwenye kuchukua barua umeandaa suti mzee?au nikuazimie kwa ProkSelected for null
ππ
πππππHahhhhhh Riverside unapajua?Utelezi unapatikanaje mkononi??
πππππAnavaaga yakwangu huyo namuazimaga kikotiYa Prok si kike hiyo
Mimi si mkazi wa darπππππHahhhhhh Riverside unapajua?
Kama upo mbeya Kuna mafyati unapapata??πππππMimi si mkazi wa dar
Yamekuwa hayo tenaJamani mkaangalie placement tayari huko