Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa mana huko.
Usaili n trh 10 Novemba 😭
Kuna aliyewahi kutokuwa-shortlisted na kuwasiliana na utumishi kwa changamoto yoyote ile kisha akawekwa kwenye majina ya nyongeza. Naomba msaada wakuu. Je alitumia means gani kuwasiliana nao na walitatuaje tatizo lake. Mwifwa na yeyote mwenye kujua.
Not shortlisted kwa sababu sija-certify cheti cha kuzaliwaKama changamoto gan?
Je ni tatizo la wengi. Au ni kada yangu ya Telecom tu?Wale wa TCRA naona PSRS wametusikia.
Not shortlisted kwa sababu sija-certify cheti cha kuzaliwa
Ofisi ipi mkuu? Dodoma au hata ofisi yao ya Dar-es-salaam?Mtafute mtu mmoja aku editie muhuri wa ku certify thn nenda ofsn kwao, wanaweza wakakuelewa kwa simu awapokeagi.
Je ni tatizo la wengi. Au ni kada yangu ya Telecom tu?
Ofisi ipi mkuu? Dodoma au hata ofisi yao ya Dar-es-salaam?
Kwenye accountUsaili wana panga kulingana na adress uulio weka kwenye account au kwenye cover letter
Kwaio serikalini utawalaNilikua private kuanzia namaliza chuo. Lakini changamoto ni kwamba kwa kampuni na post niliyoishika ilikua nategemea mshahara kwa 100%.
Watoto, mke, wazazi na mimi mwenyewe ule mshahara ulikua hautoshi. Nipo kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka miwili nikaamua nikasome ili sasa ama mshahara upande au niweze omba post zitakazoanza kulipa 2M kama takehome.
Nikajibiwa sisi tunajua tumemuajiri mtu aliyemaliza masomo hayo ya kutaka kwenda kusoma kampuni haisapoti. Mwaka Jana nilitaka kukopa 2M kwenye taasisi za fedha, siyo pesa nyingi kiasi hicho ule mlolongo niliokumbana nao wa ama gari au hati na pamoja na yote inabidi HR atie neno.
Nikafikiria nikaona nipambane na utumishi. Mungu mkubwa nikatoboa, washkaji zangu wakanicheka kwakua we all know nakuja kupokea peanuts huku lakini naamini in a long run kuna kitu nitafanya.
Kuna hii hali ukiwa unasubiri kuitwa interview unakua na ujasiri kinoma kiasi kwamba hadi unawamind PSRS kwanini wanachelewesha, na hii inatokana na situation ngumu ya kitaa anayokua nayo jobless ya kutafuta wa kumwangushia lawama😂😂. Ikitokea mtu umeitwa confidence yote inapotea kabisa unaanza kuwaza jinsi utakavyo kandwa.Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Usaili n trh 10 Novemba 😭
mwaga moto kaka j3 mbaliTujiandae na interview...kuanzia tarehe 1...
IT best wishes...
Kuna hint moja ya practical..nikitulia j3 nitawapa
Mara gafla database inatoka ya TBC kwenye mkekaMwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Usaili n trh 10 Novemba 😭